Ortega JF-Expert Member Joined Jan 4, 2011 Posts 844 Reaction score 209 Nov 27, 2013 #1 Hawa jamaa wanjiita Creative city homes au KOPA NYUMBA hivi sio mataperi hawa???? Embu kwa wale ambao wameshawasikia tufahamisheni kidogo. http://kopanyumba.co.tz Kopa NYUMBA® Sep13 | CCH
Hawa jamaa wanjiita Creative city homes au KOPA NYUMBA hivi sio mataperi hawa???? Embu kwa wale ambao wameshawasikia tufahamisheni kidogo. http://kopanyumba.co.tz Kopa NYUMBA® Sep13 | CCH
G goldentall New Member Joined Mar 6, 2011 Posts 1 Reaction score 0 Mar 23, 2014 #2 Hapo hata kama sio matapeli ushawaharibia biashara Ungeuliza hivi "mwenye kuwajua kopa nyumba atupe data zaidi" Watanzania tupendane jamani
Hapo hata kama sio matapeli ushawaharibia biashara Ungeuliza hivi "mwenye kuwajua kopa nyumba atupe data zaidi" Watanzania tupendane jamani
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,808 Mar 24, 2014 #3 kwani ushatapeliwa mkuu? naona kama unawachafua wenzio kwa kutokua na info za kutosha