guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,814
- 2,761
Wakuu naomba kujuzwa kama hapa Bongo kuna benki ya Kuwait kama ilivyo benki ya India!
Kama ipo, utaratibu wa kufungua akaunti upoje?
Kama ipo, utaratibu wa kufungua akaunti upoje?
ipo hapa karibu na lumumba streetWakuu naomba kujuzwa kama hapa Bongo kuna benki ya Kuwait kama ilivyo benki ya India!
Kama ipo, utaratibu wa kufungua akaunti upoje?