Hivi halotel wamepatwa na nini?

Hivi halotel wamepatwa na nini?

Tata Maestro

Senior Member
Joined
Jan 8, 2017
Posts
169
Reaction score
175
Wadau,
Halotel walivyo sasa ni shida, customer care kuwapata mpaka upige maombi ya mfungo wa kutokula na kunywa maji, protocol yao hata haieleweki, miaka 3 tu wameshiba ivi kweli TZ ni shamba la bibi. Walikuja na mbwembwe za internet lakini sasa hiyo internet imebaki kwenye mabango yao, yaani ni mbovu sana, na inakatisha tamaa, kuna sehemu wanasema kuna 3G kumbe ni geresho. Kwasasa huwezi kutumia internet ya Halotel zaidi ya dakika 5 haijakata kabisa na kwenye laptop haina nguvu haiwezi kufungua application zingine za kawaida kabisa. HALOTEL HAWANA SIFA TENA YA KUENDELEA KUWATANGAZIA WATEJA KUWA WANA HUDUMA NZURI YA INTERNET TENA, HUO UTAKUWA ULAGHAI, WABORESHE KWANZA NDO WAFANYE IVYO.
 
Waboreshe zaidi ya walivyoanza na siyo kuharibu zaidi ya walivyoanza

naomba mu anitafsirie kwa kingereza hapo juu kuonyesha msisitizo
 
Halotel saa hivi ni makanikia ya mtandao, unasumbua haina mfano sijui wameelemewa nini?
 
Bila shaka sasa hivi pale Halotel kuna makanikia, yaani mtandao una fluctuate muda wote hakuna siku yenye unafuu, siyo asubuhi na wala jioni . Kwa wale wanao fanya application online hauwezi hata kuwasha software za vyuo za application, ukiwasha unaonyesha 3G au H+ lakini isiyo na lolote. Halotel ni shida ya ni symbolic 3G au H+ isiyo na nguvu. Je TCRA munalijua hili?
 
Mwanzo Mgumu Kupambana Na Wale Ma Giant Wa 3 Sio Mchezo
 
Wadau,
Halotel walivyo sasa ni shida, customer care kuwapata mpaka upige maombi ya mfungo wa kutokula na kunywa maji, protocol yao hata haieleweki, miaka 3 tu wameshiba ivi kweli TZ ni shamba la bibi. Walikuja na mbwembwe za internet lakini sasa hiyo internet imebaki kwenye mabango yao, yaani ni mbovu sana, na inakatisha tamaa, kuna sehemu wanasema kuna 3G kumbe ni geresho. Kwasasa huwezi kutumia internet ya Halotel zaidi ya dakika 5 haijakata kabisa na kwenye laptop haina nguvu haiwezi kufungua application zingine za kawaida kabisa. HALOTEL HAWANA SIFA TENA YA KUENDELEA KUWATANGAZIA WATEJA KUWA WANA HUDUMA NZURI YA INTERNET TENA, HUO UTAKUWA ULAGHAI, WABORESHE KWANZA NDO WAFANYE IVYO.
Hama tu mtandao,huna haja ya kutoa mapovu
 
Kalalamike tume ya ushindani utapewa msaada, huku jukwaani ni kujifariji tuuu
 
Wadau,
Halotel walivyo sasa ni shida, customer care kuwapata mpaka upige maombi ya mfungo wa kutokula na kunywa maji, protocol yao hata haieleweki, miaka 3 tu wameshiba ivi kweli TZ ni shamba la bibi. Walikuja na mbwembwe za internet lakini sasa hiyo internet imebaki kwenye mabango yao, yaani ni mbovu sana, na inakatisha tamaa, kuna sehemu wanasema kuna 3G kumbe ni geresho. Kwasasa huwezi kutumia internet ya Halotel zaidi ya dakika 5 haijakata kabisa na kwenye laptop haina nguvu haiwezi kufungua application zingine za kawaida kabisa. HALOTEL HAWANA SIFA TENA YA KUENDELEA KUWATANGAZIA WATEJA KUWA WANA HUDUMA NZURI YA INTERNET TENA, HUO UTAKUWA ULAGHAI, WABORESHE KWANZA NDO WAFANYE IVYO.
internet ya uhakika ni Airtell
 
Back
Top Bottom