Ukitaka kuheshimiwa anza wewe kujiheshimu,kwa staili hii ni dhambi wanawake kulalamika kutoheshimiwa,anzeni kwanza kujirekebisha ninyi kwa ninyi ndo mdai kuheshimiwa
Unaweza ukawa na malezi mazuri tu, Lakini siku hiyo ukashawishika kuonja pombe ukajikuta umefanya mambo mengi ya ajabu sana mpaka watu wakashangaa. Hakuwa kwenye akili zake hapo, siyo yeye hapo. Ni sawa na ule msema wa " Hakuonekana na binti, wala hakuwahi kukosa dini, wala kuonekana akizini, mfuasi mzuri wa madili lakini akafa kwa ngoma". Kwa wasiokujua watasema malezi mabovu na mengi...