Hivi hakuna wanajeshi? Mabpmu yamezagaa ovyo

drphone

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
3,542
281
Wakuu ninapopost hii msg nipo msibani kwa jirani alouawa na bomu chakushangaza kama siokusikitisha ni hali ya mabomu yolozagaa mtaani kwetu mpaka dk hii nashindwa kuelewa kazi ya jeshi na kama wapo maana wamepita wameyaona wameyaacha mara hawana wataalumu wakutosha yani akuna majibu sahihi na watt wanayachezea tu.
 
Naomba nikutoe wasiwasi kwani mimi ni mhanga wa Mbagala. kuliona lile pipa likiwa pale na wanajeshi wameliacha lisikupe wasiwasi wameishajua halina madhara. ukiona liko pale basi ujue halina madhara kabisa. Wanajeshi wanajua hilo hivyo wako bize kutafuta yale ambayo ni hatari. Pia kila lilipoonekana nao tayari wameweka alama kwenye ramani zao. Mliopitia JKT mnajua. Wakati usojina watayakusanya. Kumbuka wao huwa hawalali.
 
Cha msingi wakataze hao watoto, pili piga simu kwa mkuu wa majeshi umjuze hilo au namba maalumu zilizotolewa au mpigie mkuu wa operations wa jeshi la polisi Ndugu Chagonja simu namba 0754 489567 kama longolongo piga kwa Said Mwema 0787444433. Nimekupa namba za polisi maana ndiyo wenye kuandalia usalama wa raia.

mkuu tuliripoti polic na wanajeshi walipita wameyaona yolozama ardhini wameyachomoa na kuyaacha yolonasakwenye kuta wameyatoa lakini yale mazima awajayalipua eti mpaka wataalamu waje
 
Naomba nikutoe wasiwasi kwani mimi ni mhanga wa Mbagala. kuliona lile pipa likiwa pale na wanajeshi wameliacha lisikupe wasiwasi wameishajua halina madhara. ukiona liko pale basi ujue halina madhara kabisa. Wanajeshi wanajua hilo hivyo wako bize kutafuta yale ambayo ni hatari. Pia kila lilipoonekana nao tayari wameweka alama kwenye ramani zao. Mliopitia JKT mnajua. Wakati usojina watayakusanya. Kumbuka wao huwa hawalali.

mkuu yapo mazima kabisa wame2ambia ukiligusa au lhkipata moto litalipuka tuyaache mpaka waje wataalam
 
bado usalama ni mdogo maana kama wanajua halilipuki si wayabebe wakayaweke kwenye makambi yao? au kama limeshalipuka ya nini kuliacha hapo kwa raia huku wakiwa na hofu na watoto wamefungiwa ndani kama wafungwa? uelewa wa wanainchi ni mdogo ukilinganisha na wao ni vyema kuyatoa ili kuondoa usumbufu wa namna yoyote kwa raia.
 
mmh hii ni hatari....sasa kama jua ni kali si ndio balaa.....jitoleeni kulikingia jua kwa usalama wenu.....liwekeeni kivuli......
 
binamu usifanye masihara wenye taaluma yao wamekimbia majukumu yao je ss tutaweza?
 
bado usalama ni mdogo maana kama wanajua halilipuki si wayabebe wakayaweke kwenye makambi yao? au kama limeshalipuka ya nini kuliacha hapo kwa raia huku wakiwa na hofu na watoto wamefungiwa ndani kama wafungwa? uelewa wa wanainchi ni mdogo ukilinganisha na wao ni vyema kuyatoa ili kuondoa usumbufu wa namna yoyote kwa raia.

nikweli mkuu na hiyo ndio maana yangu kwamba wangeyabeba sio kuyaacha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom