Hivi haiwezekani?

Hivi haiwezekani?

imaney

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
1,014
Reaction score
314
Kukaa kipindi fulani bila kufanya ngono?

Mfano mimi familia yangu, baada ya mama kuja ughaibuni baba akavuta mke wazee wakadai ni makosa yake mama, baba asingeweza kukaa peke yake na nimeshuhudia dada mmoja akipewa mimba na mchepuko wake, baada ya mumewe kusafiri mkoani kikazi, swali langu wanajamii hatuwezi kabisa kukaa bila kufanya ngono?

Mbona often 'tunawatuhumu' wapenzi wetu ambao kwa sababu moja au nyingine,walitokea kuwa mbali nasi.

Kuwa ni 'makosa' yao tume-cheat, i mean why tuna justify uzinzi?
 
Hata Mungu aliwaamuru Adam na Hawa wasitengani, ealipotengana tu kwa mda mfupi shetani nae akafanya yake. Mkishaoana shurti kuambatana popote, azawaiz lazima shetani apitemo.
 
Hata Mungu aliwaamuru Adam na Hawa wasitengani, ealipotengana tu kwa mda mfupi shetani nae akafanya yake. Mkishaoana shurti kuambatana popote, azawaiz lazima shetani apitemo.

Mmmmmhhhh....wapi imeandikwa
 
Unapokuwa kwenye ndoa hutokea ngono inakuwa jadi. Inahitaji neema ya Allah kuvumilia upweke wa kukaa mbali na mwenzi wako! Can't comment on why uzinzi unazidi ku'take over
 
Mtu unakuta hajaoa/hajaolewa lakini anagegeda/anagegeduliwa kama kaambiwa kuna ligi jitu kama hilo lioe/liolewe halafu lisipate hizo mambo mbona hata housegirl/boy atahusishwa kwenye game.
My take:Mwili ukiuendekeza utat.ombwa/utatomba kama ni DINI flan hv
 
shida kutokuishi kwa ratiba na kutokujishugulisha na shughuri za kimaendeleo ,binafsi naamin hata miaka kumi waweza kaa bila iyo kitu!!
 
kukaa bila ngono inawezekana sana tu sema baadhi ya watu wanajiendekeza jiweke busy usiangalie movie zitakazokushawishi kingine fanya mazoezi na n.k hata mwaka utamaliza
 
Back
Top Bottom