Hello JF,
Nimeona thread hapa nikajiuliza…
kwa nini,kwenye vyama vyetu kusiwe na kanuni,
wakimsimamisha mgombea..na akawa Rais,awe careful monitored kwa maslahi ya Taifa
Kama term ni miaka mitano,baada ya miaka miwili na nusu ya kuingia ikulu, mtu achunguzwe na chama chake kama bado ana 'fit' hicho kiti
Kama hafai then Chama kimtoe mtu mwingine,
in short Rais nae awe anatumbuliwa..LOLS
hivi hivi mpaka miaka kumi ipite .huku ukiona kabisa madudu yanayoendelea...kwa kweli haipendezi...