Hivi haiwezekani kweli??

majany

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2008
Posts
1,223
Reaction score
586
Nauliza hivi..hivi wadau woote wa haka kajukwaa,kama imewezekana kwenye magari kupata 'plate number' ambazo zinaonyesha majina ya watu,je siwezi kupata price ya kuweka "tag" ninaitaka mimi....kwa mfano badala ya kuniwekea 'Jf bronze member' nikalipia na nikapenda wanieke 'Jf mume wa preta':A S embarassed:..LOL
 
Not so bad if it will be either !
Plate ya mbele ikasoma hivyo upendavyo.
Then the rear plate ikasoma "nilichukua kwa mtuchake"
 
Not so bad if it will be either !
Plate ya mbele ikasoma hivyo upendavyo.
Then the rear plate ikasoma "nilichukua kwa mtuchake"

U made my dei.......:biggrin:
 
ha ha ha.....nitaipenda JF milele....umejaribu kumuuliza Invisible......?
 
Last edited by a moderator:
Eti mkuu [MENTION=72]Invisible[/ inawezekana hii??
 
ha ha ha.....nitaipenda JF milele....umejaribu kumuuliza Invisible......?

Nilikua nasita kumuuliza...ukimchezea huyu jamaa(sijui ni he au she)...anakupa B.A.N...
Na sidhani km anaingiaga chitchat...ni veeery siriaso....
 
Last edited by a moderator:
Nilikua nasita kumuuliza...ukimchezea huyu jamaa(sijui ni he au she)...anakupa B.A.N...
Na sidhani km anaingiaga chitchat...ni veeery siriaso....

wala sio wa hivyo....mbona jamaa yupo poa sana......ila ukimletea zisizo.......anakupa za uso fasta fasta.......
 
haya wapi Invisible asibitishe kauli kama yawezekana ama lah!
 
Last edited by a moderator:
Hii itatuchanganya sana! Utakuta wadada sita wote "mke wa Asprin" . Halafu wawili "mke wa Filipo". Ni full kufumaniwa!
 
Si heri tu ufungue ID inayoitwa MME WA PRETA,utakuwa umejirahisishia
 
Hii itatuchanganya sana! Utakuta wadada sita wote "mke wa Asprin" . Halafu wawili "mke wa Filipo". Ni full kufumaniwa!
tatizo ikiruhusiwa tutaambiwa kubandika tag kwa jina la girls flani flani ni gharama zaidi
 
tatizo ikiruhusiwa tutaambiwa kubandika tag kwa jina la girls flani flani ni gharama zaidi

yeees...km kuwa mme wa Ashadii au mke wa invisible....
 
Vele gudu idia...
I wil pay too..no mtr the cost..
Mi ntajiita ."JF CCM naMBEri ONE.. CDM mAsHUDU"..

Haahaa haaa..
 

Una akili sana wewe!
'Jf mme wa The secretary'.....safi sana,i will sell a leg and an arm kununua hii ID kudadadeki.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…