Tangu ndugu yake bwana Raul achukue kijiti cha kuliongoza taifa Cuba toka kwa Fidel Castro,sijamsikia kabisa Fidel,anaumwa bado?au ni vp
Kwa sasa ni marehemu mkuu...
Tangu ndugu yake bwana Raul achukue kijiti cha kuliongoza taifa Cuba toka kwa Fidel Castro,sijamsikia kabisa Fidel,anaumwa bado?au ni vp
dah!watu8 unapenda kupiga hela kweli...mshikaji yupo bana anamalizia uzee wake havana huko
acha udhalilishaji mkuu...huwezi ukamtaja mtu kama yule kirejareja kiasi hicho...fidel castro nini..muuza kahawa au mchoma mkaa?
UNGEPASWA KUANZA NA FIELD MARSHAL FIDEL CASTRO AU HATA MARSHAL CASTRO