Hivi elimu ya Tanzania inaelekea wapi

Hivi elimu ya Tanzania inaelekea wapi

Nasikia walimu wapo wapo tu hawana hamu kwa jinsi walivyonyanyaswa na kukatwa kamshahara na kunyimwa stahiki zao tangu Pogba asajiliwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuzimu Mkuu wameshagundua MAZWAZWA ndiyo mtaji wao mkubwa, hivyo wameamua kujenga kiwonder cha kuzalisha MAZWAZWA kwa kuangusha/kuzorotesha elimu nchini.

Yaaan application za loan bord mbn zinamashariti mengi sana jaman daah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom