Jamani habari za mchana,
Naomba kuuliza hivi katika swara la kupata elimu hasa kwa watoto wa viongozi, na wao huwa wanafeli au wao ni majiniasi tu? Kwani watoto wote wa viongozi wana elimu kubwa.
Ukweli ni upi?
Nirikua naona mutoto wa mubunge wa huku yumbani arikuwa anasoma shure za hera nyigi ira ariferi?
We koma!
Hivi ni wa baba mwenye nyumba au baba mwenye korosho?Kwani J wa baba mwenye nyumba alifaulu??
You intended your question to be purely rhetorical!Kwani genius maana yake ni nini?
Yaani wewe unaielewaje?
Mwl wako rosemary michael mwambie akareport kituo cha polisi cha karibuNirikua naona mutoto wa mubunge wa huku yumbani arikuwa anasoma shure za hera nyigi ira ariferi?
Unauliza swali au unachangia hoja?[emoji53]Nirikua naona mutoto wa mubunge wa huku yumbani arikuwa anasoma shure za hera nyigi ira ariferi?
Hivi ni wa baba mwenye nyumba au baba mwenye korosho?