Kwa kumaliza kwako Kidato cha Nne,jambo hili ulipaswa kulijua. EGM ni mchepuo wa sanaa kama zilivyo HGL,HGK,HKL,ECA,HGE na KLF.Usitishwe na uwepo wa Hesabu.
Kwa masomo ya A level, masomo ya Science ni: Chemistry, Physics, Biology; wakati masomo ya Arts ni History, Geography, Civics, Languages. Masomo ya Mathematics na Economics ni mtambuka (cross cutting). Hivyo basi EGM ni ARTS.

kwa kumaliza kwako kidato cha nne,jambo hili ulipaswa kulijua. Egm ni mchepuo wa sanaa kama zilivyo hgl,hgk,hkl,eca,hge na klf.usitishwe na uwepo wa hesabu.
umekosea eca si mchepuo wa sanaa.nawe pitia vizuri mtaala wa elimu ya sekondari...egm ni sanaa jaamii iliyo na somo moja la sayans i GENARALLY KWA WIZARA YA ELIMU EGM INAKUWA CONSIDERED KWENYE COMBINATION YA ARTS...hivyo lipo katikati,ni sawa na sikuhizi kuna comb ya physics,economics na geography
Sasa wadau ntaelewa nini maana wengine wanasema arts,arts 6,social science,general science,wengine ni sayansi vilevile sanaa,ANAYEJUA KIUNDANI BASI ANIELEKEZE!