Masikini vipofu, Matajiri ni chongo.idodomia
majengo sokon wazaz wametulea kwa kuuza gongo
Kush na drugs ndo viinua mgongo
uyu mwana wa kuitwa Moni-sentro-zone anaiwakilisha vizuri sana IdodomiaMasikini vipofu, Matajiri ni chongo.
Miaka 20 sio %, N'shatishiwa na maisha ya bongo.
Dodoma MkuuKama wewe ni fanatic wa miziki ya hiphop ngumu hapa bongo nadhani ushawahi lisikia hili neno kuanzia kwa akina Profesa Jay hadi kwa a.k.a. mimi Ngwair R.I.P. Hili jina lilikuwa halikauki mdomoni mwao.
Sasa ninataka kufahamu je east zuu walikuwa wanamaanisha ukanda gani au sehemu gani hapa Tz?
Naomba kuwasilisha.
Kikuyu, Dodoma
hapa mwenzio wa mbagala katoka kapaKuanzia majengo sokoni pitia soko la sabasaba mpaka ihumwa hiyo yote ni east zoo
Sahihi kabisa..uyu mwana wa kuitwa Moni-sentro-zone anaiwakilisha vizuri sana Idodomia
Kama ile list ya RIP Liyumba? Wengi wao waliotajwa wako hai. Au utasema mbaazi zipewe tuzo?kuna mwamba alikuwa anaitwa eastzuu nna ndo alivumisha hilo neno pale magorofani kikuyu aliwakula wanawake wa sekondari wengi akawa anawaandika kwenye kaunta kila anaemkula na akaacha wosia kuwa ye ni mwathirika bila shaka aliotembea nao pia ni waathirika tyr akadai daftar hilo lisomwe majina hayo siku ya mazishi yake.
aliwala warembo wengi pale dodoma mjini
shule cty, central, jamhur, dodm, kikuyu, hijra, merriw,n.k watu walipata presha na ndo jina likavuma zaidi mpk leo ukitaja eastzuu unaeleweka unataja miwaya.
R.I.P konki wa madent
sifatiliagi maisha ya mtuKama ile list ya RIP Liyumba? Wengi wao waliotajwa wako hai. Au utasema mbaazi zipewe tuzo?
Lile ghetto sio la kusadikika kweli?mwenye picha ya geto la Gwair atuwekee