stujadiliane
Member
- Jun 2, 2017
- 66
- 84
Joe Biden, A Great and a Truthful manNikisikiliza kauli hotuba tamu za wanasiasa na Mbwembwe zao kabla ya uchaguzi au wakati wa kuomba kura na chelea kusema hakuna Mwanasiasa mkweli
Nikiangalia matukio yanayo jitokeza baada ya uchaguzi nikalinganisha na kabla ya uchaguzi na cherea kusema ni vigumu mwanasiasa kuwa ukweli
Munisamehe wana siasa wote kama ni mewakwaza huo ni mtazamo wangu tu
Kwa hivyo Bashite ni Shetani compared to all Politicians? Maana hata jina Katuuzia mbuzi kwenye nguni, kufuungua kumbe ni Mzoga wa Kenge! Uliojaa mayai ooooooo na yanakaribia Kuoza na Kumpasukia aliyebeba tenga mbeleko uuuwi I dont wan c it when it happen!Kitu pekee ambacho 'mwanasiasa' huwa hadanganyi, ni JINA lake tu.
NOTE: Except BASHITE.
-Kaveli-
Kwa hivyo Bashite ni Shetani compared to all Politicians? Maana hata jina Katuuzia mbuzi kwenye nguni, kufuungua kumbe ni Mzoga wa Kenge!
Yupo Tundu Lissu
umesahau na salam pia wanasema kweli.Kitu pekee ambacho 'mwanasiasa' huwa hadanganyi, ni JINA lake tu.
NOTE: Except BASHITE.
-Kaveli-
soma mwenyewe alicho sema. Je leo anaweza kulidhibitisha?
Kasema kuwa lisu ndio mwanasiasa mkweli.Hii wala haishangazi. Ilikuwa sahihi kisiasa kwa hawa 'makamanda' kumchafua Lowassa kwa sababu wakati huo alikuwa adui yao kisiasa.
Mwandishi Richard Turner alisema: "Katika siasa kumpaka matope mpinzani wako kunaitwa kutoa pointi".
Pia kwa Lowassa kujiunga na hawa hawa waliokuwa wanamchafua sio kitu cha ajabu kwa sababu mwanasiasa kuhama chama kimoja na kujiunga na kingine ni kitu cha kale kama ulivyo mfumo wa vyama vingi.