Hivi Duniani kote kuna mwana Siasa mkweli?

stujadiliane

Member
Jun 2, 2017
66
84
Nikisikiliza kauli hotuba tamu za wanasiasa na Mbwembwe zao kabla ya uchaguzi au wakati wa kuomba kura na chelea kusema hakuna Mwanasiasa mkweli
Nikiangalia matukio yanayo jitokeza baada ya uchaguzi nikalinganisha na kabla ya uchaguzi na cherea kusema ni vigumu mwanasiasa kuwa ukweli

Munisamehe wana siasa wote kama ni mewakwaza huo ni mtazamo wangu tu
 
Malaika mkuu wa Tanzania haongopi yeye anajiita msema kweli ni mpenzi wa mungu
 
Ukishasema mwanasiasa unakuwa unamaanisha MTU MWONGO,MTU MJANJA MJANJA n.k
 
Nikisikiliza kauli hotuba tamu za wanasiasa na Mbwembwe zao kabla ya uchaguzi au wakati wa kuomba kura na chelea kusema hakuna Mwanasiasa mkweli
Nikiangalia matukio yanayo jitokeza baada ya uchaguzi nikalinganisha na kabla ya uchaguzi na cherea kusema ni vigumu mwanasiasa kuwa ukweli

Munisamehe wana siasa wote kama ni mewakwaza huo ni mtazamo wangu tu
Joe Biden, A Great and a Truthful man
 
Kitu pekee ambacho 'mwanasiasa' huwa hadanganyi, ni JINA lake tu.
NOTE: Except BASHITE.

-Kaveli-
Kwa hivyo Bashite ni Shetani compared to all Politicians? Maana hata jina Katuuzia mbuzi kwenye nguni, kufuungua kumbe ni Mzoga wa Kenge! Uliojaa mayai ooooooo na yanakaribia Kuoza na Kumpasukia aliyebeba tenga mbeleko uuuwi I dont wan c it when it happen!
 
Kwa hivyo Bashite ni Shetani compared to all Politicians? Maana hata jina Katuuzia mbuzi kwenye nguni, kufuungua kumbe ni Mzoga wa Kenge!

Bashite ni next level... maana yeye kadanganya hadi JINA !

-Kaveli-
 
Yupo Tundu Lissu
0f9d42d4369dc943fab87bc08c498095.jpg
soma mwenyewe alicho sema. Je leo anaweza kulidhibitisha?
 
"Politicians are the same all over. They promise to build a bridge even where there is no river".
- Nikita Khrushchev
 
0f9d42d4369dc943fab87bc08c498095.jpg
soma mwenyewe alicho sema. Je leo anaweza kulidhibitisha?

Hii wala haishangazi. Ilikuwa sahihi kisiasa kwa hawa 'makamanda' kumchafua Lowassa kwa sababu wakati huo alikuwa adui yao kisiasa.

Mwandishi Richard Turner alisema: "Katika siasa kumpaka matope mpinzani wako kunaitwa kutoa pointi".

Pia kwa Lowassa kujiunga na hawa hawa waliokuwa wanamchafua sio kitu cha ajabu kwa sababu mwanasiasa kuhama chama kimoja na kujiunga na kingine ni kitu cha kale kama ulivyo mfumo wa vyama vingi.
 
Kasema kuwa lisu ndio mwanasiasa mkweli.
 
Kwenye siasa hakuna mkweli kuna unafuu tu, kuna mwanasiasa mmoja kwenye kampeni 2010 nilimchagua huku nikifahamu amedanganya nilimchagua kwa imani ya chama chake alisema nyumba za nyasi na udongo zitakua historia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom