Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,624
- 164,682
Naomba wanasheria na wataalamu wengine mtusaidie katika hili na itakuwa vizuri mtupe mifano ya hizo state au dola zenye maraisi.
Mimi navyojua state(dola) inakuwa na governor au kiongozi mwingine lakini sio raisi.
Wanasheria na wataalamu tunaomba mtupe darasa juu ya hili.
Vile vile sio vibaya tukapata definition halisi na ya kitaalamu juu ya dola(state).
NB:Huu ni mjadala unaojitegema kabisa hivyo tuwe makini.