Hivi Diamond anamkomoa Nani?

Kwani kuna nini wafuatiliaji wa hayo mambo na jamaa yenu?, sisi wengine hatuelewi kitu hapa maana huko hatupo, hebu tutoeni tongotongo amefanyaje huyo bwana? nasi tujue tupate la kuchangia

Nawe unapenda umbea hata akothee humjui mxieew
 
Nawe unapenda umbea hata akothee humjui mxieew
Mm sifuatiliagi mambo ya huyo jamaa, nakumbuka mara moja nmekuta clip zake youtube nikasikiliza napo baada ya kuona wameandika amesaidia watu/katoa msaada ndpo nikasikiliza japo kidogo na kumaliza mb zangu. Mambo mengine sionagi wakiyaleta, wakiweka kiumbea umbea wala sihangaiki na kutizama nafanya ku scrow down kuona nn kingine cha maaana youtube kimetupiwa
 
Tununu tunakupenda,tena ukiwezekana mroge hadi awe ndondocha kabisaaa,mwanaume zipu mbovu mbovu kama kifuko cha nailoni ni kurogwa tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom