Mm sifuatiliagi mambo ya huyo jamaa, nakumbuka mara moja nmekuta clip zake youtube nikasikiliza napo baada ya kuona wameandika amesaidia watu/katoa msaada ndpo nikasikiliza japo kidogo na kumaliza mb zangu. Mambo mengine sionagi wakiyaleta, wakiweka kiumbea umbea wala sihangaiki na kutizama nafanya ku scrow down kuona nn kingine cha maaana youtube kimetupiwaNawe unapenda umbea hata akothee humjui mxieew
Bado hakajawekwa, kukasubiri.Kapuuzi kakiwekwa unitagi mkuu