tracy martins JF-Expert Member Joined Aug 5, 2014 Posts 3,535 Reaction score 1,484 Mar 14, 2016 #1 Habari zenu wakuu, Hivi watu hawa wako wapi? Dennis Mdoe alikuwa mchezaji wa Yanga na Nyota Nyekundu, Bakari Idd alikuwa mchezaji wa Majimaji na baadae Simba Sports na Nteze John alikuwa Pamba na Simba Sports. Wako wapi sasa hivi?
Habari zenu wakuu, Hivi watu hawa wako wapi? Dennis Mdoe alikuwa mchezaji wa Yanga na Nyota Nyekundu, Bakari Idd alikuwa mchezaji wa Majimaji na baadae Simba Sports na Nteze John alikuwa Pamba na Simba Sports. Wako wapi sasa hivi?
Easyway JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 2,606 Reaction score 3,713 Mar 14, 2016 #2 Nteze yupo USA ni mchungaji wa kanisa la kilokole.
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,849 Reaction score 23,435 Mar 14, 2016 #3 Sasa hivi wanachezea Manchester United ya Njombe.
M mwembemdogo JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 2,282 Reaction score 1,253 Mar 14, 2016 #4 Makada wa CCM
Mlaleo JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 16,382 Reaction score 13,194 Mar 14, 2016 #5 Nteze John Lungu Shavu Dodo Baada ya Soccer Maisha Marekani.