Hivi Dennis Mdoe, Bakari Idd na Nteze John wako wapi?

tracy martins

JF-Expert Member
Aug 5, 2014
3,535
1,481
Habari zenu wakuu,

Hivi watu hawa wako wapi? Dennis Mdoe alikuwa mchezaji wa Yanga na Nyota Nyekundu, Bakari Idd alikuwa mchezaji wa Majimaji na baadae Simba Sports na Nteze John alikuwa Pamba na Simba Sports.

Wako wapi sasa hivi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom