Hivi decoder strong 4922 mpya bei gani ?

Hivi decoder strong 4922 mpya bei gani ?

Mdumangee

Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
13
Reaction score
1
Wajameni nimevutiwa sana na features za Strong 4922 ila cjapata jua bei ya mpya na original, ,

Help me jaman ntafute kabla nshahara kwisha
 
hatujazila mkuu, kwa bongo wanauza hadi 230000 ila uwe makini mno maana mchina amevamia soko na copy za str4922,jamaa yangu last week aliuziwa lakini haipokei software wala haina bisskey application.sasa anaitumia kama mpg4 ya kawaida
 
Back
Top Bottom