Dawa ya kutibu kipara km kipara,HAKUNA ,.lkn kuna dawa za kustimulate nywele kukua lkn izo unatumia kw maisha yote tho still kipara kitaonekana bt nywele nazo ztakua,yan ukiacha bas kama kawa kinakua vile vile,na izo dawa pia zinazuia ukatkanaj wa nywele ,nywele źnakua hazdondok kwaiyo huwez kuktbu kabisa ,Au njia nyngne ni implantation ,yan tunazistimulate nywele kwa kuziotesha kwenye kichwa kutoka ktk ndevu zako au sehem ya kichwa iliyo na nywele hii ndo njia inayo work na ni very expensve aisee,lazma uwe tajir.mara nyng pia kipara n genetic tho mzngira yanaweza kua chanzo,mf stress,poor nutrition,etc