Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,836
- 9,982
Nimefikia kujiuliza hili swali bila kupata majibu.
Ni ukweli usiopingika kuwa Dar ndiyo sehemu pekee inayoongoza kwa;
1.Matangazo ya waganga wa kienyeji ambao wengi wao kauli mbiu yao ni "Dawa ya nguvu za kiume & Mvuto wa mapenzi nk.
2. Vibanda vingi vya kuuza supu ya pweza ambayo wenyeji wa hapo wanasemaga eti inaongeza "nguvu za kiume na kuchelewa kumaliza".
3.Vijana walioamua kutumika kama mboga (mashoga) wengi wako hapa.
4.Asilimia kubwa ya vijana wanaopaka poda, rangi za midomo, kujipodoa na kuvaa zile "sarawili" za kubana makalio kama dada zao huku wakishindania uzuri wa sura na umbo kama watoto wa kike.
5. Na kubwa zaidi leo nimekutana na jamaa mmoja hapa Dom ambaye anachonga miti mfano wa mb.o.o au dushe a.k.a."mshedede" anasema huwa anaenda kuziuza Dar.
Anadai kuwa huwa anaondoka ijumaa jioni na kulala Dar kisha Jumamosi anauza mzigo na Jumapili kisha Jumatatu anarudi Dom kuchonga "mashine" zingine
Na kila safari anaondoka na kiasi kisichopungua 500 Pcs.
Sasa najiuliza tatizo kubwa nini. Najua kwa idadi ya "mishedede" ya mbao inayoletwa kila wiki huko lazima kuna baadhi ya wadada wako humu ambao walishajinunulia "mitalimbo" hiyo waseme basi tatizo kubwa ni nini? Kama waganga wapo wengi, vibanda vya supu ya pweza kila kona. Povu ruksa.
NB: Akiba haiozi-nunua jeneza lako leo ili siku ukifa nduguzo wasihangaike.