S stunnar JF-Expert Member Joined Aug 24, 2016 Posts 236 Reaction score 134 Oct 25, 2016 #1 Kweli mtu anatoka nyumbani kwake asubuhi anenda kukaa chini ya daraja kuchungulia kina dada .........?????
Kweli mtu anatoka nyumbani kwake asubuhi anenda kukaa chini ya daraja kuchungulia kina dada .........?????
Blank page JF-Expert Member Joined May 28, 2015 Posts 6,081 Reaction score 6,086 Oct 25, 2016 #2 mh wap apo?
Blank page JF-Expert Member Joined May 28, 2015 Posts 6,081 Reaction score 6,086 Oct 25, 2016 #3 stunnar said: Kweli mtu anatoka nyumbani kwake asubuhi anenda kukaa chini ya daraja kuchungulia kina dada .........????? Click to expand... daraja la kigamboni au lile la ubungo au kimara mkuu?
stunnar said: Kweli mtu anatoka nyumbani kwake asubuhi anenda kukaa chini ya daraja kuchungulia kina dada .........????? Click to expand... daraja la kigamboni au lile la ubungo au kimara mkuu?
S stunnar JF-Expert Member Joined Aug 24, 2016 Posts 236 Reaction score 134 Oct 26, 2016 Thread starter #4 Blank page said: daraja la kigamboni au lile la ubungo au kimara mkuu? Click to expand... buguruni
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Oct 26, 2016 #5 ha haahaha hatari
S stunnar JF-Expert Member Joined Aug 24, 2016 Posts 236 Reaction score 134 Oct 26, 2016 Thread starter #6 miss chagga said: ha haahaha hatari Click to expand... hatari sana halafu wanaojiwa wanachekacheka tu
miss chagga said: ha haahaha hatari Click to expand... hatari sana halafu wanaojiwa wanachekacheka tu
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Oct 26, 2016 #7 stunnar said: hatari sana halafu wanaojiwa wanachekacheka tu Click to expand... wanaona wapo kazini mkuu
stunnar said: hatari sana halafu wanaojiwa wanachekacheka tu Click to expand... wanaona wapo kazini mkuu
Amadoli JF-Expert Member Joined Sep 28, 2013 Posts 2,544 Reaction score 2,268 Oct 26, 2016 #8 Bhuahahahahaha wanaume wa daslam wana matatizo kwa kweli....anaenda kupiga chabo ili apate stimu
venossah JF-Expert Member Joined Apr 30, 2016 Posts 2,742 Reaction score 3,994 Oct 26, 2016 #9 stunnar said: Kweli mtu anatoka nyumbani kwake asubuhi anenda kukaa chini ya daraja kuchungulia kina dada .........????? Click to expand... Ha,ha,haaaa....wanaenda kuchungulia akina nani? Tukisema wanaume wa dar...mnakasirika,haya kila kheri
stunnar said: Kweli mtu anatoka nyumbani kwake asubuhi anenda kukaa chini ya daraja kuchungulia kina dada .........????? Click to expand... Ha,ha,haaaa....wanaenda kuchungulia akina nani? Tukisema wanaume wa dar...mnakasirika,haya kila kheri
nafiaafrca JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 248 Reaction score 308 Oct 29, 2016 #11 Hawanaume wa dar
hibiscus interior JF-Expert Member Joined Jan 13, 2016 Posts 1,168 Reaction score 596 Oct 29, 2016 #12 Miaka yote Ujayaona ya filauni ???
Clueless14 JF-Expert Member Joined Aug 27, 2014 Posts 3,111 Reaction score 4,773 Oct 29, 2016 #13 Kazi hamna na mitaji ya kujiajiri hamna pia
mzado JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 1,023 Reaction score 1,534 Oct 29, 2016 #14 dar kunamengi ya kushangaza ukisema ushangae na ww utajikuta unashangaza i have been through that believe me kikubwa ww fanya yako.
dar kunamengi ya kushangaza ukisema ushangae na ww utajikuta unashangaza i have been through that believe me kikubwa ww fanya yako.
Scale JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 2,122 Reaction score 2,658 Oct 29, 2016 #15 mzado said: dar kunamengi ya kushangaza ukisema ushangae na ww utajikuta unashangaza i have been through that believe me kikubwa ww fanya yako. Click to expand... Sure! Na akisikia kuna watu hawalali wanachungulia wenzao madirishani!!? Vya kushangaza Dar havijawahi kuisha!
mzado said: dar kunamengi ya kushangaza ukisema ushangae na ww utajikuta unashangaza i have been through that believe me kikubwa ww fanya yako. Click to expand... Sure! Na akisikia kuna watu hawalali wanachungulia wenzao madirishani!!? Vya kushangaza Dar havijawahi kuisha!
S stunnar JF-Expert Member Joined Aug 24, 2016 Posts 236 Reaction score 134 Oct 29, 2016 Thread starter #16 Scale said: Sure! Na akisikia kuna watu hawalali wanachungulia wenzao madirishani!!? Vya kushangaza Dar havijawahi kuisha! Click to expand... hahaaaaa
Scale said: Sure! Na akisikia kuna watu hawalali wanachungulia wenzao madirishani!!? Vya kushangaza Dar havijawahi kuisha! Click to expand... hahaaaaa