nimekuja kupata wazo kwamba huenda baadhi ya vyeo vya kiutendaji serikalini huwa si muhimu sana.maana mpaka sasa mkoa wa dar es salaam unakaimiwa baada ya aliyekuwa rc william lukuvi kuukwaa uwaziri. Si dsm pekee bali pia kuna baadhi ya wilaya zinakaimiwa kitambo sasa na mambo yanaenda, hivyo kupelekea niamini kuwa na utitiri wa watendaji katika ngazi za mikoa,wilaya nk si kuleta tija ila mzigo tu kwa walipa kodi.
ukiona hivyo ujue mkuu wa mkoa hana umuhimu wowote its just a political gift to retired soldiers and cc cadres...
ukiona hivyo ujue mkuu wa mkoa hana umuhimu wowote its just a political gift to retired soldiers and cc cadres...
msubirie law masha anakuja!!!!nimekuja kupata wazo kwamba huenda baadhi ya vyeo vya kiutendaji serikalini huwa si muhimu sana.maana mpaka sasa mkoa wa dar es salaam unakaimiwa baada ya aliyekuwa rc william lukuvi kuukwaa uwaziri. Si dsm pekee bali pia kuna baadhi ya wilaya zinakaimiwa kitambo sasa na mambo yanaenda, hivyo kupelekea niamini kuwa na utitiri wa watendaji katika ngazi za mikoa,wilaya nk si kuleta tija ila mzigo tu kwa walipa kodi.
kurahisisha magumashi!alaaamie binafsi sijauona.
Afrodenz aka ulimakafu huna kazi wewe!! unataka mkuuwa mkoa ulichokosa nini? kazi?Punguza jazba mkuu,una hakika mi sifanyi kazi?