BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 8,504
- 21,569
Hakuna corona yoyote, wewe ndio corona yenyewe na unatakiwa KUONDOSHWA.Corona ipo na inaendelea kusababisha vifo kwa wingi. Takwimu za sasa nilizopata (past two months) at least kwa Zanzibar zinatisha ila mamlaka hawataki kuzitoa. Kwa upande wa afya ya jamii (public heath code) ni makosa makubwa sana kwa mamlaka kuficha takwimu halisi kwa jamii, jamii inatakiwa ipate takwimu sahihi, na kupewa ufahamu wa kutosha nini maana ya hizo takwimu (simple interpletation), zaidi waelezwe nini cha kufanya kuepuka madhara haya. Sasa sisi tumejikita kwenye vitu tofauti; jamii ina uelewa mkubwa sana kuhusu mechi za laliga, simba na yanga, betting, new song za Diamong na Alikiba. Anyway tutafika , ila tutakuwa choka mbaya.
Infection kwenye damu? Au ulienda Boch pale mbezi? Maana ukienda hapo lazima wakwambie kuwa una hilo tatizo, maana pale huo ugonjwa ni kama reception yaoMie week ilopita tu niliumwa the same plus homa kali sana, nilipoenda hospital wakaniambia nna infection ya kwenye damu...na kunipa midawa kibao...
nilichofanya nikaenda kununua Azuma zangu dozi 1, tangawizi na asali. nashkuru kwa sasa nipo fresh ingawa kifua bado wakati mwengine nakohoakohoa.
Nionavyo corona haijawahi kuondoka tunaiishi nayo tushaizoea tunaona kama maradhi ya mafua na kifua tu.
Jemedari aliyefia vitani baada ya kujifanya mjuaji sana na kuamini ushirikina badala ya scienceIla Tz ni fundi zaidi tuliambiwa na Jemedari
hiyo ni kwa uweza na Baraka na Neema za Mwenyezi Mungu.THE PROPAGANDIST ON THE BEAT
Kwa kweli hata ungekufa ingekuwa vizuri.
You are a VIRUS that needs to be GUNNED DOWN.
science ipi?kuamini ushirikina badala ya science
mbona izo ni infectious za kawaida zina dawa watu wanapata maambukizi na zinatibika Aise...THE PROPAGANDIST HIMSELF 🤣🤣
Mtaacha lini kuhadaa watu nyie MAKASUKU!?
Wewe una MAGONOREA umeyaokota kwenye madanguro, KAPIME.
Usisingizie magonjwa yasiyokuwapo 🤣🤣🙌
Uliweza kuwa online muda wote huo wa mafua makali?sure,
day one kifua ilinibana kama nimevaa bulletproof ilonibana hadi moyo unauma ofisini niliwork for only 2hrs, nikaenda nyumbani sio hospital tena coz one week before nilienda for checkup na sikua na tatazo lolote.
Kichwa ilipozidi na mafua huku kifua ikapoa nikaanza kukohoa sasa na homa ikalipuka mara baridi mara joto, uzalendo ukanishinda nikajongea hospital, wakanipima wakaniambia hakuna kitu inashida...
wakanipa dawa ya maji ya kifua, ya mafua na ya maumivu,
Acha kujishaua.mbona izo ni infectious za kawaida zina dawa watu wanapata maambukizi na zinatibika Aise...
Ukiwa na iyo shida kuwa muwazi tu...
ile ya kutisha ni umeme acha kabisa unakufa wew na wewe pekeyako ukijiona tena saii unakufa na afya yako muzuri....
yaani, unaongelea utu tuugonjwa tudogotudoga ambae unaeweza elezea ata marafiki zako kijiweni au kwenye kahawa,
Pata umeme kama utasema,
Unafaa nchezo nini
acha kabisaa aise hii mafua si ya kubishana aise ni kali si kamasi ni maji etiUkiweza kuwa online muda wote huo wa mafua makali?
Maana Kila siku umo humu, tena active.🙄
TAPELI HILO 🤣🤣Uliweza kuwa online muda wote huo wa mafua makali?
Maana Kila siku umo humu, tena active.🙄
We jamaa sikuamini, hii kitu ikitangazwa IPO, nahisi utanufaika nayo!!acha kabisaa aise hii mafua si ya kubishana aise ni kali si kamasi ni maji eti
Vipi, kamasi kwenye kinyeo hazitoki?acha kabisaa aise hii mafua si ya kubishana aise ni kali si kamasi ni maji eti
TAPELI HILO.We jamaa sikuamini, hii kitu ikitangazwa IPO, nahisi utanufaika nayo!!
kwamba ndio contentAcha kujishaua.
Kameze MADAWA huko!
ndo unaiskilizia huko sio right?Vipi, kamasi kwenye kinyeo hazitoki?
Nasikia korona inasababisha kuvuja kamasi kwenye kinyeo?
Korona inawapata zaid mnaoshinda kwenye baridi majumbani unategemea hewa ya mzungu iyo covid inskuachaje Tuache kwanza tuko na bei mpya za usafirishajiWakuu siku za karibuni hali yangu sio nzuri kiviile... Kwanza nilianza kuumwa sana na koo nikawa nikimeza mate napata maumivu makali.
Juzi juzi nikaanza kikohozi kikavu kinachoambatana na maumivu ambacho kinaendelea mpaka sasa. Jana kichwa kimeanza kuniuma na homa japo sio kali sana, na leo naona mafua yameanza.
Sauti nayo ni kama inapotea. Hizi dalili nakumbuka nilizipataga 2020 au 2021 hivi hasa hii ya kuumwa koo.
NB: Kwa sasa natumia tangawizi, malimao na paracetamol na dawa ya kikohozi syrup. Unanishauri nini?
Ni kujifukiza na kupiga nyunguscience ipi?
Kudungwa CHANJO kwenye makalio?
Muamini Mungu pekee na usiogope...We jamaa sikuamini, hii kitu ikitangazwa IPO, nahisi utanufaika nayo!!
Duh!! Aya bana pole.Muamini Mungu pekee na usiogope...
Kuna watu wanaugua acha kabisaa, mimi si kati ya unaweza sema ati nagonjeka lahashaa...
mimi ni kasiku kamoja nilikwama nayo sana,
Jpili nikapiga maombi nikazama hospital for checkup,
nikapewa dawa tamu ya maji ya kifua na ingine ya mafua nikameza usiku Asubuhi niko sawa ila macho ni kama imevimba, I think ni alegy na kwahiyo siwezi kunywa tena hiyo dawa..
Kwa ufupi ni hayo
Ulidungwa chanjo kwenye kalio la kushoto au la kulia?Ni kujifukiza na kupiga nyungu