kuupata urajis si rahisi hivyo mkuuPiga Interview, utaenda kuaniriwa Time ya Usimamizi wa SACCOS kama Mrajisi Msaidizi - Mshahara anayeanza ni kati ya TZS 2.54 MILLIONI - TZS 2.78 MILIONI hapo hiyo Basic Salary mkuu pia Kuna posho ya nyumba, Usafiri na Chakula si chini ya TZS 1.2 MILIONI - TZS 1.5 MILIONI uhakika wa Milioni 3 take home siyo Haba mkuu
We jamaa ni mtu wa zamani heti NengeHuko yaelekea kuna nenge sana.jamaa yangu yuko lushoto halmashauri huko,nilimkopesha 100k huu mwaka wa pili kila siku calendar,imebidi nisamehe tu
hongera mkuu mimi not selected for oral zimefika 8 sasa kwa kweli ni huzuniWakuu
Hii ngoma nimetoboa written interview..naombeni mnipe possible za oral.
Halafu hivi kuna hela kweli huku au bora kuendelea kupigika kwa mchina tu?
HongeraWakuu
Hii ngoma nimetoboa written interview..naombeni mnipe possible za oral.
Halafu hivi kuna hela kweli huku au bora kuendelea kupigika kwa mchina tu?
Kuna mtu wa karibu nmemuuliza anasema kuwa Mambo ya ushirika utapangwa Halmashauri ambapo mshahara ni kwenye laki nane hivi, ukisalimika Sana unaenda Tume ya ushirika au upate bahati baada ya Kipindi flani uhamishiwe tume but majority ni Halmashauri inakwenda, mostly likely za vijijini au tuseme wilayani, wanasema ni kukavu kama zilivyo halmashauri nyingi TZ.Wakuu
Hii ngoma nimetoboa written interview..naombeni mnipe possible za oral.
Halafu hivi kuna hela kweli huku au bora kuendelea kupigika kwa mchina tu?
Duh utapata tu mkuu usijalihongera mkuu mimi not selected for oral zimefika 8 sasa kwa kweli ni huzuni
Kuhamishiwa huko kwenye Maokoto sio masikhara, uko inabidi ukupambanie.Kuna mtu wa karibu nmemuuliza anasema kuwa Mambo ya ushirika utapangwa Halmashauri ambapo mshahara ni kwenye laki nane hivi, ukisalimika Sana unaenda Tume ya ushirika au upate bahati baada ya Kipindi flani uhamishiwe tume but majority ni Halmashauri inakwenda, mostly likely za vijijini au tuseme wilayani, wanasema ni kukavu kama zilivyo halmashauri nyingi TZ.
Of course, Kwa mujibu wa mtoa taarifa wangu ni kuwa asilimia kubwa wataenda Tamisemi, wachache Sana ndo watakwenda huko kwenye Taasisi, mashirika, wakala sijui tume huko...Yaani vijana kazi wanayo huko Serikalini.Kuhamishiwa huko kwenye Maokoto sio masikhara, uko inabidi ukupambanie.
Mungu akupiganie upate hiyo kazi mkuu. Mengine yatajulikana mbele ya safari.Wakuu
Hii ngoma nimetoboa written interview..naombeni mnipe possible za oral.
Halafu hivi kuna hela kweli huku au bora kuendelea kupigika kwa mchina tu?