Kuna usaili wa huko utumishi wa cooperative officer ii, jina lilivyokaa tu inaonekana ni njaa kali sana.
Sasa nawaza nikapige huo usaili au nikomae zangu na mchina tu huku private.
Je wakuu,hao cooperative officer ii wana maisha kweli au njaa kama zote?
izo ni porojo mkuu na wala haupo hukoKatika sehemu zenye pesa zilizosahaulika ni huko siyo kwenye Mshahara ila mambo ya kuchota yapo sana hakikisha Unafungua Account ambazo hazina majina yako maana uki deposit kwa pesa kwa Jina lako tutakudaka haraka sisi tupo kazini mda wote
Kama hupigi ni wewe mwenye kichwa kizito yeye anakagua nini? COASCO kazi yake nini sasa?izo ni porojo mkuu na wala haupo huko
nikwambie tu siku hizi hawaruhisi saini nyaraka wala kupitisha fedha za vyama
zaidi wamebaki kukagua tu tena baada ya miezi mi 3, mbaya zaidi kuna mfumo sio holela holela
naona ww unaongea kizamani hujui sasa ivi hali ipoje
DuuhHuko yaelekea kuna nenge sana.jamaa yangu yuko lushoto halmashauri huko,nilimkopesha 100k huu mwaka wa pili kila siku calendar,imebidi nisamehe tu
We nenda mwanetu ila kazi unafanyia halmashauriKuna usaili wa huko utumishi wa cooperative officer ii, jina lilivyokaa tu inaonekana ni njaa kali sana.
Sasa nawaza nikapige huo usaili au nikomae zangu na mchina tu huku private.
Je wakuu,hao cooperative officer ii wana maisha kweli au njaa kama zote?
Piga Interview, utaenda kuaniriwa Time ya Usimamizi wa SACCOS kama Mrajisi Msaidizi - Mshahara anayeanza ni kati ya TZS 2.54 MILLIONI - TZS 2.78 MILIONI hapo hiyo Basic Salary mkuu pia Kuna posho ya nyumba, Usafiri na Chakula si chini ya TZS 1.2 MILIONI - TZS 1.5 MILIONI uhakika wa Milioni 3 take home siyo Haba mkuuUtumishi ndio waliopewa dhamana ya recruitment
Acha siasa,hapo huyo atapelekwa halmashauri tu.Piga Interview, utaenda kuaniriwa Time ya Usimamizi wa SACCOS kama Mrajisi Msaidizi - Mshahara anayeanza ni kati ya TZS 2.54 MILLIONI - TZS 2.78 MILIONI hapo hiyo Basic Salary mkuu pia Kuna posho ya nyumba, Usafiri na Chakula si chini ya TZS 1.2 MILIONI - TZS 1.5 MILIONI uhakika wa Milioni 3 take home siyo Haba mkuu
MhmPiga Interview, utaenda kuaniriwa Time ya Usimamizi wa SACCOS kama Mrajisi Msaidizi - Mshahara anayeanza ni kati ya TZS 2.54 MILLIONI - TZS 2.78 MILIONI hapo hiyo Basic Salary mkuu pia Kuna posho ya nyumba, Usafiri na Chakula si chini ya TZS 1.2 MILIONI - TZS 1.5 MILIONI uhakika wa Milioni 3 take home siyo Haba mkuu
hujui alafu unakuwa mbishiKama hupigi ni wewe mwenye kichwa kizito yeye anakagua nini? COASCO kazi yake nini sasa?
sio yaelekea huko ni njaa tupu sio kama zaman wanaruhusiwa kupitisha fedha za vyama wakawa wanajikopesha na madolaHuko yaelekea kuna nenge sana.jamaa yangu yuko lushoto halmashauri huko,nilimkopesha 100k huu mwaka wa pili kila siku calendar,imebidi nisamehe tu