Hivi cooperative officer ii wana maisha kweli?

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
486
Reaction score
2,069
Kuna usaili wa huko utumishi wa cooperative officer ii, jina lilivyokaa tu inaonekana ni njaa kali sana.
Sasa nawaza nikapige huo usaili au nikomae zangu na mchina tu huku private.

Je wakuu,hao cooperative officer ii wana maisha kweli au njaa kama zote?
 
Katika sehemu zenye pesa zilizosahaulika ni huko siyo kwenye Mshahara ila mambo ya kuchota yapo sana hakikisha Unafungua Account ambazo hazina majina yako maana uki deposit kwa pesa kwa Jina lako tutakudaka haraka sisi tupo kazini mda wote
 
Ni Taasisi gani? Na Mshahara ni TGS ngapi? Ili nikushauri vizuri
 
Katika sehemu zenye pesa zilizosahaulika ni huko siyo kwenye Mshahara ila mambo ya kuchota yapo sana hakikisha Unafungua Account ambazo hazina majina yako maana uki deposit kwa pesa kwa Jina lako tutakudaka haraka sisi tupo kazini mda wote
izo ni porojo mkuu na wala haupo huko

nikwambie tu siku hizi hawaruhisi saini nyaraka wala kupitisha fedha za vyama

zaidi wamebaki kukagua tu tena baada ya miezi mi 3, mbaya zaidi kuna mfumo sio holela holela

naona ww unaongea kizamani hujui sasa ivi hali ipoje
 
Kama hupigi ni wewe mwenye kichwa kizito yeye anakagua nini? COASCO kazi yake nini sasa?
 
Kuna usaili wa huko utumishi wa cooperative officer ii, jina lilivyokaa tu inaonekana ni njaa kali sana.
Sasa nawaza nikapige huo usaili au nikomae zangu na mchina tu huku private.

Je wakuu,hao cooperative officer ii wana maisha kweli au njaa kama zote?
We nenda mwanetu ila kazi unafanyia halmashauri
 
Utumishi ndio waliopewa dhamana ya recruitment
Piga Interview, utaenda kuaniriwa Time ya Usimamizi wa SACCOS kama Mrajisi Msaidizi - Mshahara anayeanza ni kati ya TZS 2.54 MILLIONI - TZS 2.78 MILIONI hapo hiyo Basic Salary mkuu pia Kuna posho ya nyumba, Usafiri na Chakula si chini ya TZS 1.2 MILIONI - TZS 1.5 MILIONI uhakika wa Milioni 3 take home siyo Haba mkuu
 
Acha siasa,hapo huyo atapelekwa halmashauri tu.
 
Piga Interview, utaenda kuaniriwa Time ya Usimamizi wa SACCOS kama Mrajisi Msaidizi - Mshahara anayeanza ni kati ya TZS 2.54 MILLIONI - TZS 2.78 MILIONI hapo hiyo Basic Salary mkuu pia Kuna posho ya nyumba, Usafiri na Chakula si chini ya TZS 1.2 MILIONI - TZS 1.5 MILIONI uhakika wa Milioni 3 take home siyo Haba mkuu
Mhm
 
Back
Top Bottom