Sina jibu na si mtaalam lakini swali lako limenisaidia kuelmika japo kiduchu baada ya ku-wikipedia. May be wewe ukisoma hapa utalewa zaidi na kuja kutufafanulia.
Otheriwise tusibiri ma engeneer wa sauti waje watupe shule zaidi lakini thanks. That was ma knowledge of the day.