Mkuu sijakusoma vizur hapa, pls more maelezo mkuu?. Na yule mwana wa jamaa wa magogoni si inasemekana ni shareholder (Ze Zamaradiz Nketemaz)
Ndugu wana JF,
Kabla hatujafunga mwaka 2012, naomba mnisaidie kulijibu swali hili
ambalo kwangu linanisumbua kila siku! Imekuwa ni utaratibu na utamaduni
wa hiki kituo cha radio Clouds FM kuchukua upande kwenye mambo
yanayohusu siasa ususani kwa kuitetea CCM moja kwa moja, mara nyingi
inatokea kwenye kipindi cha PowerBreakfast ambapo kiongozi wa
mashambulio dhidi ya vyama vingine ni Gerald Hando na kipindi cha Jahazi
mashambulizi yakiongozwa na Ephraim Kidonde!
Swali langu ni je, huu ndo utaratibu wa vyombo vya habari au hiki kituo
ni tawi la radio Uhuru linalomilikiwa na CCM?
Naomba mnisaidie!
Ndo maana nikasema ni tetesi (inasemekana) mkuu.Mkuu sijakusoma vizur hapa, pls more maelezo mkuu?
yaan me niHao jamaa hata mziki wakita usitoke hautatoka kirahisi,lakn kwa sababu tunaenda digitali tutakuwa na radio na tv nyingi tu,kwahio wadau mjiandae kusikiliza mnachotaka sio wanachotaka wao,mi clouds huwa nasikilza vipindi 2 tu,njia panda na spoti extra,asubuhi nipo magic fm au eafm na Zembwela,kwanini nisikilze wajingawajinga waniharibie siku kwa njaa zao au kujipendekeza!