Last KING Ontuzu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2016
- 587
- 783
Wewe yanakuhusu nini? Pambaneni na zimwi lenu CCM.Ndugu zetu wana Chadema mlikuja spidi sana miezi kadhaa na kuanza kudai katiba mpya ,mitandaoni kote hashtagi #katibampya ,mpka lile jaribio kule Mwanza lilipofeli,sasa mbona kama mliwasha moto wa mabua ,Sasa hivi wimbo wa katiba mpya umegeuka kuwa bring back Mbowe,Mbowe sio gaidi,kwn agenda ya katiba mpya imeisha au hiyo agenda ilikuwa ya mr Gaidi.
Bila shaka pengine chama kimejaa vijana waoga na wasioweza kusimama peke yao kupigania wanachokiamini kwenda front line kwa maslahi mapana ya watanzania.
Watanzania wanatazama na wanawapima kama mnao uwezo wa kupewa nchi hii.
2025 hiyo inakuja wala haichelewi,Msipokuwa makini 2025 itafika na hakuna hata moja la maana mtakalokuwa mmefanikisha.Wewe yanakuhusu nini? Pambaneni na zimwi lenu CCM.
etu wMtaana Chadema mlikuja spidi sana miezi kadhaa na kuanza kudai katiba mpya ,mitandaoni kote hashtagi #katibampya ,mpka lile jaribio kule Mwanza lilipofeli,sasa mbona kama mliwasha moto wa mabua ,Sasa hivi wimbo wa katiba mpya umegeuka kuwa bring back Mbowe,Mbowe sio gaidi,kwn agenda ya katiba mpya imeisha au hiyo agenda ilikuwa ya mr Gaidi.
Bila shaka pengine chama kimejaa vijana waoga na wasioweza kusimama peke yao kupigania wanachokiamini kwenda front line kwa maslahi mapana ya watanzania.
Watanzania wanatazama na wanawapima kama mnao uwezo wa kupewa nchi hii.
25 hiyo inakuja wala haichelewi,Msipokuwa makini 2025 itafika na hakuna hata moja la maana mtakalokuwa mmefanikisha.
Hatutaki katiba mpya.Ndugu zetu wana Chadema mlikuja spidi sana miezi kadhaa na kuanza kudai katiba mpya ,mitandaoni kote hashtagi #katibampya ,mpka lile jaribio kule Mwanza lilipofeli,sasa mbona kama mliwasha moto wa mabua ,Sasa hivi wimbo wa katiba mpya umegeuka kuwa bring back Mbowe,Mbowe sio gaidi,kwn agenda ya katiba mpya imeisha au hiyo agenda ilikuwa ya mr Gaidi.
Bila shaka pengine chama kimejaa vijana waoga na wasioweza kusimama peke yao kupigania wanachokiamini kwenda front line kwa maslahi mapana ya watanzania.
Watanzania wanatazama na wanawapima kama mnao uwezo wa kupewa nchi hii.
UKO WAPI?Ndugu zetu wana Chadema mlikuja spidi sana miezi kadhaa na kuanza kudai katiba mpya ,mitandaoni kote hashtagi #katibampya ,mpka lile jaribio kule Mwanza lilipofeli,sasa mbona kama mliwasha moto wa mabua ,Sasa hivi wimbo wa katiba mpya umegeuka kuwa bring back Mbowe,Mbowe sio gaidi,kwn agenda ya katiba mpya imeisha au hiyo agenda ilikuwa ya mr Gaidi.

UKO WAPI?