Egnecious
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 899
- 999
Chadema Na viongozi wake ni chama kilichojipambanua Kwa muda mrefu toka kuanzishwa kwake kuwa ni chama cha fujo,chuki,udini,ukanda,usaliti Na umamluki.
Wote mtakuwa mashuhuda kuwa ni chama hiki hiki ambacho viongozi wake wamekuwa wakiuana dhidi ya madaraka tujikumbushe Kifo cha marehemu Chacha Wangwe alipotaka kuthubutu kugombea uenyekiti wa Chadema taifa taifa linajua Na dunia inajua kilichwanavyuoNdg.Wangwe.
Sote tunajua yaliyowakuta baadhi ya makada wa Chadema walipothubutu kugusa maslahi ya Mwenyekiti wa Chadema Taifa..
Upo mkakati wa siri unaoratibiwa Na Chadema Na baadhi ya wanaharakati kuudhoofisha mfumo Na kuudondosha utawala wa Rais Magufuli Na ufadhili mkubwa unatoka katika chama kikuu cha Siasa cha kikristo cha Ufaransa,uingereza Na Marekani lakini pia wamekwenda mbali zaidi wanawafadhili baadhi ya wanafunzi wa Vyuo vikuu kuratibu migomo Na maandamano,wanawalipa baadhi ya watu kwenye mitandao ya kijamii hasa wanaotoka kanda ya kaskazini Kama kina Mange kimambi kueneza chuki,kuibua hisia Na hasira Kwa watanzania dhidi ya utawala wa Rais Magufuli.
Zoezi hili linakwenda sanjari Na kutekana wenyewe Kwa wenyewe,kuuana wenyewe Kwa wenyewe ili kuudhihirishia ulimwengu kuwa utawala wa Rais Magufuli niwa kidikteta jambo ambalo si kweli, wameandaa makundi kadhaa ya kuahakikisha kuwa mission yao inafanikiwa moja ni kundi la viongozi wa kidini,kundi la pili la wanaharakati linaloongozwa Na Dr.Hellen Kijo Bisimba,kundi la Tatu la Vyuo linaloongozwa Na Abdul Nondo Na mtandao wake wa vijana wa Chadema wanaojiita mtandao wa wanavyuo,lipo kundi la watumishi wa umma,lipo kundi mitandao ya kijamii linaloongozwa Na Mange Kimambi.
Kama tunavyojua kuwa Tanzania ni moja ya nchi zinazokuwa Kwa Kazi katika nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara,ni nchi iliyojiwekea heshima ya kujitawala Na kujisimamia hasa katika masuala yenye Mustakabali Na nchi pamoja Na Yale yenye kulinda hadhi,utu,heshima Na maslahi ya Afrika Na waafrika,Baadhi ya mataifa ya Magharibi yamekasirishwa Na juhudi Na Kazi za kizalendo anazozifanya Mh.Dr.John Joseph Magufuli Rais wa Tanzania za kulinda Rasilimali za taifa,Kujenga miradi mikubwa ikiwemo mradi wa Umeme wa maporomoko wa Stigler Georg,mradi wa treni ya Umeme tena Kwa Fedha zetu wenyewe... Makaburu Na mabeberu hili Na mengine mengi yamewaudhi hivyo wameendelea kutafuta kila njia kukwamisha hayo tote Kwa maslahi yao tena Kwa kuwatumia watanzania wenzetu hasa wasiolitakia mema taifa hili.
Viongozi wa Chadema wakiongozwa Na Mwenyekiti wao Freeman Haikael Mbowe Wakati wakifunga Kampeni katika Uchaguzi mdogo wa jimbo la Kinondoni walitukana matusi,kebehi,fedheha,walihamasisha chuki Na kuchochea maandamano huku wakijinasibu kuwa maandamano hayo hayatokoma mpaka Magufuli atoke madarakani... Katika nchi ya kidemokrasia uannpotaka Kiongozi aliyechaguliwa Kwa kura atoke madarakani Kwa maandamano huo ni uhaini... Jeshi la polisi liliwataka viongozi hao wa Chadema wakiongozwa Na Mbowe wafike Kituo cha polisi lakini walikaidi amri ya polisi,Kitendo cha viongozi hao kwenda Jana central polisi ilikuwa ni lazima wawekwe ndani Kwa makosa ya 8 moja kukusanyika visivyohalali(count 1),kosa la pili Kufanya Fujo baada ya tamko la kuzuia au kukataza,kosa la 3 (count 3)kuzusha taharuki Kwa nia ovu, kosa la nne ni Kama ilivyo kosa la Tatu,kosa la tano Uchochezi,kosa la Sita nalo ni uchochezi kosa la Saba Na la nane ni kuchochea utendaji wa kosa.
Nimeambatanisha na hati ya mahakama hapo chini kudhihirisha hili jambo.
Kwa makosa hayo Na mengine ambayo hayakuainishwa mlitegemea Mbowe Na wenzake wakae Honeymoon au wakalie lockup?
Ni Dhahiri tusipojenga nidhamu katika taifa Na uwajibikaji hasa katika kutii Na kuheshimu mamlaka zilizopo Kwa mujibu wa sheria ni Dhahiri hakutakuwa Na taifa Bali kichochoro cha Wahuni. Nina wasihi watanzania wenzangu tuwemakini Na chama hiki cha Chadema Na viongozi wake.
Vyama Vitapita ila nchi hii ni yetu itakuwepo ni lazima tuilinde maana machafuko yote yanayotokea duniani yalianza Kama mzaha Kama ambavyo Chadema Wanaleta mzaha nchi hii.