Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,193
- 144,053
wamelost tuachane nao.Makamanda wamelost siku hizi
MiguuHawa wanaojiita chama kikuu cha upinzani siku hizi wanasimamia nini?
Manake naona wapo wapo tu. Hawaeleweki.
Eti wanampinga Magufuli kwa wanachodai ni 'udikteta' wake halafu wanamuunga mkono Uhuru Kenyatta kisa tu eti Raila Odinga ni rafiki wa Magufuli.
Halafu hapo hapo mambo wanayompingia Magufuli huyo Kenyatta naye anayafanya!
Si ajabu kama Magufuli angekuwa ni rafiki na Kizza Besigye CHADEMA nao wangemuunga mkono Museveni.
Sasa hivi hata haijulikani nani anakiongoza hicho chama. Ni Mange? Mbowe? Mashinji? Sugu? Lema? Lowassa? Sumaye? Nyalandu?
Nyie makamanda, nani kiongozi wenu siku hizi?
Bure kabisa nyinyi.
wamelost tuachane nao.
Ngabu toka Dr Slaa apate ubalozi " unakazana" kweli akufanyie mipango ya ukuu wa wilaya!Hawa wanaojiita chama kikuu cha upinzani siku hizi wanasimamia nini?
Manake naona wapo wapo tu. Hawaeleweki.
Eti wanampinga Magufuli kwa wanachodai ni 'udikteta' wake halafu wanamuunga mkono Uhuru Kenyatta kisa tu eti Raila Odinga ni rafiki wa Magufuli.
Halafu hapo hapo mambo wanayompingia Magufuli huyo Kenyatta naye anayafanya!
Si ajabu kama Magufuli angekuwa ni rafiki na Kizza Besigye CHADEMA nao wangemuunga mkono Museveni.
Sasa hivi hata haijulikani nani anakiongoza hicho chama. Ni Mange? Mbowe? Mashinji? Sugu? Lema? Lowassa? Sumaye? Nyalandu?
Nyie makamanda, nani kiongozi wenu siku hizi?
Bure kabisa nyinyi.
Wamelost lakini cha ajabu nguvu ya polisi ndio inatumika katika uchaguziMakamanda wamelost siku hizi
Kamwe hatutawaruhusu: ama zao, ama zetu!Wanasimamia agenda ya Kutaka kuchafua amani ya nchi..!!
Bado najiuliza hio demokrasia ndio itapatikana baada ya kuliingiza taifa katika machafuko..??
Usisahau kutetea wezi wa Rasilimali zetuTunasimamia mambo makubwa manne:
1. Matusi. Kama huamini basi subiri uone tutakavyokufanya kwenye huu uzi wako.
2. Ukabila. Kamanda wetu mkuu [HASHTAG]#lissumsaliti[/HASHTAG] alituanzishia chuki dhidi ya wasukuma kwa kuwa Magu ni wa huko, kwa hiyo tunafuata maono ya kiongozi wetu.
3. Kupinga kila kitu. Huo ndo mtazamo wetu km chama - big NO to everything.
4. Kutetea kitu chochote kilicho kinyume na sheria na matakwa ya serikali na uongozi wa nchi. Tunatetea wala rushwa, mafisadi, wauza 'sembe', wakwepa kodi, nk.
Sema jingine.