Hivi Chadema ina mwanasheria kweli?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
36,422
Reaction score
30,967
Hayupo, hana uwezo au viongozi wa Chadema masalia hawamuamini?

Kulikoni viongozi wa Chadema masalia ndio wanabwabwaja zaidi mambo ya kisheria zaidi ya mwanasheria mwenyewe?

Kama yupo, sidhani kama anaweza kuwasaidia chochote kuhusu sheria na Chadema masalia wakafanikiwa.

Mungu Ibariki Tanzania.
 
naona katuga alipoambiwa anabwabwaja na nguli wa sheria TAL, basi na nyie mbogamboga mnadhani mnaweza kusema mtu anabwabwaja
 
MUNGU atazidi kuilaani Tanzania kwa mawazo ya wajinga kama wewe!
mihemko ya kipepo nonsense kama hiyo,
haiwezi kuzuia Neema wala kuathiri Baraka za Mungu kwa Tanzania gentleman.
 
naona katuga alipoambiwa anabwabwaja na nguli wa sheria TAL, basi na nyie mbogamboga mnadhani mnaweza kusema mtu anabwabwaja
jamaa una low IQ sana gentleman,
kwahiyo kama maji yanaitwa maji kwa kiswahili,
ulitaka mtu mwingine ayaitaje hata kama wewe umeyataja mapema? mma au?

kubwabwaja ni kubwabawaja tu gentleman
 
Alikuwepo ToBo Kisu,

Kwa sasa yupo Lupango anapigania ugali wake.
 
Punguzeni kuandika uzushi na upuuzi kila dakika
 
Punguzeni kuandika uzushi na upuuzi kila dakika
tuliza mihemko gentleman,
ni muhimu wadau wa JF wakafahuamu,
huyo mwanasheria pale chadema masalia yupo au hayupo?

au yupo kama hauypo vile chamani?
mbona rahisi tu na unaweweseka hivyo ndugu mdau?
 
jamaa una low IQ sana gentleman,
kwahiyo kama maji yanaitwa maji kwa kiswahili,
ulitaka mtu mwingine ayaitaje hata kama wewe umeyataja mapema? mma au?

kubwabwaja ni kubwabawaja tu gentleman
mbogamboga bwana
 
Si unaona kila mara mahakamani huwa anakuja na t-shirt zenye jumbe tofauti.
korokoroni kumemfanya awe mbunifu,
ila minyoo sijui kaipatia wapi, anakujana na msosi kabisa kizimbani
 
Bata kweli wewe, dadako samia ana akili hata kwa bakuli hazijai...afu eti mshauri wake mkuu bashite - hivi tuna Tanganyika kweli?

Na nyie JWZT muwe mnatumia akili walau kidogo, hii si Tanganyika ambayo waasisi waliipigania, hili sasa ni pango wa wanyanganyi, tena wa kutumia silaha.

Taifa gani linathubutu kuua vijana zaidi ya 10,000 kisa tu etimadaraka, upumbavu. Hebu tuache huu ujinga haraka sana.
 
Inabidi tuwe tunachagua maandiko ya kusoma! Walevi wa damu za watanzania kama wewe hufai! Ona unavyoandika kingumbaru!
 
Inabidi tuwe tunachagua maandiko ya kusoma! Walevi wa damu za watanzania kama wewe hufai! Ona unavyoandika kingumbaru!
hilo ni jambo muhimu, huru na binafsi gentleman,
porojo na uzushi kama huo unaojaribu kuuleta jukwaani badala ya kujikita kwenye hoja ni kitu nonsense sana aise mtu kusoma!
 
Mbwembwe tu hizo mkuu,

Acha afanye kitu roho inapenda ila huyu ananyongwa anajiona.
hapo sina maoni,
tuiachie mahakama huru ya Tanzania kufanya kazi yake kwa uhuru
 
tuliza mihemko kuku,
changia hoja bila mihemko wala kuwewseka itapendeza zaidi,

jiepushe na porojo nonsense jukwaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…