Hivi CECAFA kupeleka kituo Darfour walikusudia?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,709
Reaction score
1,735
Nilikuwa natafakari uamuzi wa CECAFA kupeleka kituo mji huo ambapo hakuna AMANI, kama waziri wetu wa mambo ya nje alivotuthibitisha hivi karibuni ulikuwa sawa? Kwa kauli ya waziri Membe naona ilikuwa janja yao ya kupima UPEPO ili waone SHAMBA lao la bibi litasemaji. Haifichiki pahala ambapo hakuna AMANI (si ya matamko bali kuuana) soka na utaratibu wa kila siku wa jamii HAKUNA. Mtizamo wangu wakubwa hawa wanaweza kuhamishia SHAMBA la BIBI mashindano hayo mwaka huu. Kwanini hawatamki kurekebisha vituo? Yaonekana Khartoum haulipi kama SHAMBA la BIBI. Haya ni maoni yangu, mwenzangu unaonaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…