Hivi CCM ya Magufuli itafaidika vipi zaidi ya UKAWA mgogoro wa CUF?

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,198
Huwa najiuliza hivi drama za Ccm zina watu wenye akili za kuwepo walipo.

Mgogoro wa cuf na Lipumba na baadae na ukawa km lipumba ataingizwa kwa nguvu na system. Utakuwa na faida na hasara pande mmoja. Ila katabia Lipumba ni mdini, na mpinzani wa msimu kutegemea nani ataingia ikulu.

Cha kujiuliza Lipumba atailinda Ccm ya magufuli hata akiiteka cut na ukawa wa ikabadili gia angani? Au atakuwa sumu km kipindi Mkapa alimpa madogo?

Je Lipumba Ata geuza cuf chama cha kidini halafu aingie msikiti ni kuelezea jinsi alivyomuingiza na kulinda jk na leo atakufa na magufuli asiguse maslahi ya jk na dini?

Nini kitakuwa tofauti ya lipumba na wenzie ktk upinzani wa muda?

Kwanza magufuli hajakaribia malizia muda wake ili angalau lipumba awe na matumaini ya zile zamu za Ccm.Ni wazi karata ya lipba ni double hedge. Otherwise huyu na zito ni wa ku dispose.

Je ukawa hasara piga bao zaidi kwa kile tinachokiita " the Enemy of your enemy is your friend.."?

Yangu macho mimba ingine nikitoka.
 
Back
Top Bottom