Hivi CCM wanakuwaga na akili gani

Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,862
5,680
CCM wanakataa suala la uraia pacha kwa watanganyika lakini wanaruhusu Wazanzibar wawe na uraia pacha kwa Tanganyika.

Wazanzibar wana Taifa Lao na Serikali yao lakini wana haki zote za kirai ktk taifa la Tanganyika. Mtanganyika amebaguliwa Zanzibar sio kwa maneno tuu hadi ktk sheria kwamba hawezi kumiliki ardhi kule Zanzibar lakini wapemba na sasa hadi waarabu toka ujombani wa Dubai wanapeta tuu bara na kukabiziwa hadi bandari za mazuzu na yenyewe hayastuki yanakenua meno tuu.

Huu sio wakati wa kuchekeana tena ni wakati wa kuelezana ukweli hatuwezi kuwa na muungano wa kipumbavu wa namna hii. Muungano ni mzuri hakuna anaye pinga ila uwe wenye tija kwa pande zote.

Ni unajisi kwa taifa kutawaliwa na raia kutoka ktk nchi nyingine tulipigania uhuru tujitawale iweje tutawaliwe na raia toka nchi ya Zanzibar? Tanganyika haina rais mpka Leo baada ya rias wake kufariki.

Back Tanganyika
Maendeleo hayana vyamaa.
 
Wazanzibar wana Taifa Lao na serikali yao lakini wana haki zote za kirai ktk taifa la Tanganyika. Mtanganyika amebaguliwa Zanzibar sio kwa maneno tuu hadi ktk sheria kwamba hawezi kumiliki ardhi kule Zanzibar lakini wapemba na sasa hadi waarabu toka ujombani wa Dubai wanapeta tuu bara na kukabiziwa hadi bandari za mazuzu na yenyewe hayastuki yanakenua meno tuu.
mbona jamaa zenu wamejaa tele visiwani? Umewahi kwenda wewe au unasikiliza stori za vijiweni tu?

Wauza mboga, wajenzi, waendesha bajaji, watembeza watalii na kadhalika asilimia kubwa wanatoka bara na wanapiga kazi kama kawaida. Je hao waliingia visiwani kwa kutumia passport?
 
Kwani wazungu hawapo Zanzibari au na wao ni watanganyika? Tunazungumzia haki za kikatiba na sio utembezi
 
CCM wanakataa suala la uraia pacha kwa watanganyika lakini wanaruhusu Wazanzibar wawe na uraia pacha kwa Tanganyika.

Wazanzibar wana Taifa Lao na Serikali yao lakini wana haki zote za kirai ktk taifa la Tanganyika. Mtanganyika amebaguliwa Zanzibar sio kwa maneno tuu hadi ktk sheria kwamba hawezi kumiliki ardhi kule Zanzibar lakini wapemba na sasa hadi waarabu toka ujombani wa Dubai wanapeta tuu bara na kukabiziwa hadi bandari za mazuzu na yenyewe hayastuki yanakenua meno tuu.

Huu sio wakati wa kuchekeana tena ni wakati wa kuelezana ukweli hatuwezi kuwa na muungano wa kipumbavu wa namna hii. Muungano ni mzuri hakuna anaye pinga ila uwe wenye tija kwa pande zote.

Ni unajisi kwa taifa kutawaliwa na raia kutoka ktk nchi nyingine tulipigania uhuru tujitawale iweje tutawaliwe na raia toka nchi ya Zanzibar? Tanganyika haina rais mpka Leo baada ya rias wake kufariki.

Back Tanganyika
Maendeleo hayana vyamaa.
Kakuambia nani kama wanazo akili?
FB_IMG_1604027510826.jpg
JamiiForums1389173211.jpg
 
Kwani wazungu hawapo Zanzibari au na wao ni watanganyika? Tunazungumzia haki za kikatiba na sio utembezi
haki gani za kikatiba? Kura munaipigia CCM kwa wingi tu, ajira munapata na hasa za muungano, nyumba munazo (hata jirani yangu ni mbongo), au kipi cha ziada?

Pemba hamukupendi wenyewe kwa vile hakuna maendeleo lakini ningekuuzia shamba la mikarafuu uhamie kabisa.
 
Back
Top Bottom