CHENGU MANURE
JF-Expert Member
- May 26, 2015
- 914
- 566
Matatizo ya mgao wa umeme yamekuwa ya muda mrefu sasa na Serikali ya CCM ndio chanzo cha matatizo hayo. Sio rahisi kwa CCM kumaliza mgao wa umeme kwani uwezo wao kufikiri umefika mwisho, "pumzi imekata" .
Wakati umefika wa kufanya MABADILIKO ili Tanzania ipate japo MAENDELEO kwa kila Mtanzania kuliko sasa maendeleo ni kwa tabaka la viongozi na familia zao.
Magufuli anaendelea KUSHANGAA.
Leo anashangaa umeme kuisha Tanesco😅
Hawajielewi hawa.Ndo maana mkuu wa kaya kawasusia kampeni.
..kwa kauli za katibu mkuu wa CCM na mgombea urais wa CCM maana yake CCM inakili watendaji katika wizara ya nishati na wa Tanesco ni wazembe na hawafai. Ikiwa rais ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM ndiye aliyewateua watendaji hao, kwanini asiwabadilishe ili kuondoa tatizo la umeme na aweze kikiongezea Imani chama chake? Badala yake eti tusubiri hadi Magufuri achaguliwe ndiyo wawajibishwe. Kweli hii ni hujuma dhidi ya Magufuri, mgao huu unai-cost CCM, labda tu tushukuru watanzania wengi hatuna utashi wa kujua jema na baya (zero IQ) na ni wepesi kusahau.
Mkuu wa kaya umekutana nae wapi akakiambia amewasusia?
Wamekata umeme