Hivi CCM wanahoji marekani kuingilia Tanzania? Sisi tulikuwa na mamalaka gani kuivamia Comoro na kumrudisha tuliyemtaka?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Ivi nyie ccm mlikuwa na mamlaka gani kuivamia comoro na kumweka rais mliyemtaka?

Mtoto anapozaliwa huwa ni wako kwa sababu kazaliwa nyumbani kwako na una sheria na taratibu zako.

Ila ukimnyanyasa au kumuuwa anakuwa wa jamuhiri, ivyo ivyo tanzania ina sheria zake lakini ukienda kinyume kuna majirani na sheria zilizo nje ya mipaka yako lazima waseme.

Msipende sifa sana wakati hamustahiri
 
Dah Wanadhani jeshi lilienda Comoro kwa maazimio ya kamati kuu ya CCM.
naona sasa mnakoelekea ni uchizi, unashindwa kuelewa kuingilia nchi fulani kwa mandate ya umoja wa mataifa na baraka zote za kusimamia amani, na pale unajua kabisa ilikua ni kwenda kuweka amani kwa kivuli cha umoja wa mataifa, mbona huhoji kwa nini tuko Congo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni u-bogus. Tanzania iliingilia Comoro kijeshi kwa ombi la serikali ya nchi hiyo na kwa ruhusa ya AU na SADC (Peace and Security Committee). Kama hujui masuala ya regional peace and security policy architecture bora ukae kimya!
 
naona sasa mnakoelekea ni uchizi, unashindwa kuelewa kuingilia nchi fulani kwa mandate ya umoja wa mataifa na baraka zote za kusimamia amani, na pale unajua kabisa ilikua ni kwenda kuweka amani kwa kivuli cha umoja wa mataifa, mbona huhoji kwa nini tuko Congo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema uelewa wao mdogo mno nashangaa eti walikuwa nao wanaota kushika dola wakati hata vitu vidogo kama hiki hawajui
 
Wewe hapa unajua nini? Nakuhakikishia wewe ni mbulula tu kwa maeneo mengi kwani huna ulijualo kuhusu jeshi letu kwenda comoro! Nikufundishe leo kuwa, nchi zinazounda sadc na AU zina kitengo cha ulinzi na usalama kwa wanachama wao na ndio walioomba jeshi letu kwenda kusaidia kurejesha amani kule Comoros tofauti na wale walopo Congo wanaowajibika UN! Tafuta maarifa na uelewa kwanza kabla ya sifa za kijinga
 
Tanzania haikujipeleka ilipelekwa kwa azimio la nchi kibao za jumuiya ya pamoja . Marekani tamko lake kajitolea yeye kama yeye
 
naona sasa mnakoelekea ni uchizi, unashindwa kuelewa kuingilia nchi fulani kwa mandate ya umoja wa mataifa na baraka zote za kusimamia amani, na pale unajua kabisa ilikua ni kwenda kuweka amani kwa kivuli cha umoja wa mataifa, mbona huhoji kwa nini tuko Congo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Umoja wa mataifa wanasemaje kuhusu haki za raia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pamoja na hayo, kwa hiyo Comoro sio nchi huru?

naona sasa mnakoelekea ni uchizi, unashindwa kuelewa kuingilia nchi fulani kwa mandate ya umoja wa mataifa na baraka zote za kusimamia amani, na pale unajua kabisa ilikua ni kwenda kuweka amani kwa kivuli cha umoja wa mataifa, mbona huhoji kwa nini tuko Congo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom