Hivi CCM wana mgombea urais mwaka huu?

Hivi CCM wana mgombea urais mwaka huu?

Mkombozi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2008
Posts
844
Reaction score
476
Nimepita Dar,nimeona mabango mengi yakimnadi Dr Maguguli.Katika mabango hayo hamna alama yeyote ya CCM.Dr Magufuli anajinadi yeye kama yeye.Ina maana anajinadi kama mgombea binafsi kitu ambacho kwa Tanzania hakipo.Hii inaonesha wazi kuwa Dr Magufuli anaogopa kuweka nembo ya CCM,Mfano aweke picha yake aseme chagua CCM,Dr Magufuli.Ukiona mgombe anaogopa kuomba kura kupitia chama chake anaomba yeye kama yeye,ujue amegundua mfumo ni mbovu ila tu anaogopa kusema ubadilishwe kwa kuogopa kuzingirwa (Ref Sumai)
 
Tuwekee picha ya hayo mabango na walio mbali na Dar wayaone
 
Admins siku hizi naona hamuwachukulii hatua watu wanao post habari za uongo, mnawaweka matatizoni kuanzia keshokutwa kufungwa na kulipa fine ya milioni 30. Kwenye posters zote za Magufuli kuna nembo ya CCM, labda macho yako ni makengeza, nisikulaumu
 
Ni wazi kwamba anaogopa kuomba kura kwa jina la CCM,kama ulimsikiliza wakati wa uzinduzi wa Kampeni,na yeye anashuhudia CCM wamebolongo kila kitu alishangaa,mpaka akashangaa kwa barabara zinajengwa chini ya kiwango.
 
Mgombea binafsi ni Lowassa yeye ana ilani yake kwenye begi
 
Hilo ni kweli hata vipeperushi vyote vilikuwa viandikwa chagua magufuli, walishastuka kuwa ccm haipendwi
 
Back
Top Bottom