GE2025 Hivi CCM mnakwenda kushindana na nani?

GE2025 Hivi CCM mnakwenda kushindana na nani?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Maharo

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2016
Posts
3,530
Reaction score
2,641
Wanajamvi

Kama kichwa cha uzi kinavyosema

Hivi kweli bila kupepesa macho wala unafiki CCM inayojinasibu kuwa ni wakubwa na wana wafuasi wengi wanakwenda kushindana na chama gani????

Ni kipi kitawafanya wajivunie ushindi?

Binafsi naona aibu

Nasoma comment.
 
Wanachezea pesa za walipa kodi.......wezi watupuuuu.....wapiga deal.....
 
Wanajamvi

Kama kichwa cha uzi kinavyosema

Hivi kweli bila kupepesa macho wala unafiki CCM inayojinasibu kuwa ni wakubwa na wana wafuasi wengi wanakwenda kushindana na chama gani????

Ni kipi kitawafanya wajivunie ushindi?

Binafsi naona aibu

Nasoma comment.
Wanapoteza hela tu hao
 
Kwani nani amesema wanaenda kushindana..🙄
 
wale mishipa ya aibu imekatika haswa,unasombelea watu kwa malori halafu huna mpinzani na kujigamba kuwa utakuwa na ushindi wa tsunami
 
Wanajamvi

Kama kichwa cha uzi kinavyosema

Hivi kweli bila kupepesa macho wala unafiki CCM inayojinasibu kuwa ni wakubwa na wana wafuasi wengi wanakwenda kushindana na chama gani????

Ni kipi kitawafanya wajivunie ushindi?

Binafsi naona aibu

Nasoma comment.
CCM ni kama fisi linapofika swala la madaraka kwenda kuiba mali za umma hawana aibu wanaweza kushindana hata na BAKWATA mradi wafanye maigizo ya kuingia Ikulu
 
Wanajamvi

Kama kichwa cha uzi kinavyosema

Hivi kweli bila kupepesa macho wala unafiki CCM inayojinasibu kuwa ni wakubwa na wana wafuasi wengi wanakwenda kushindana na chama gani????

Ni kipi kitawafanya wajivunie ushindi?

Binafsi naona aibu

Nasoma comment.
Wamemkamata mpinzani wao mkuu wamemsweka ndani, Kisha wakatengeneza wapinzani fake na kuwaweka kwenye mashindano.
 
Kwa uchaguzi upi wapi? Maana Tanzania ya leo kuna uchaguzi wa Maigizo uchaguzi huru na haki bila uchakachuaji Polisiccm kuwabambikia kesi za uongo lazima ccm itupwe nje na kuwa kama KANU ya kenya
 
Wamemkamata mpinzani wao mkuu wamemsweka ndani, Kisha wakatengeneza wapinzani fake na kuwaweka kwenye mashindano.
Wagombea magumashi mapandikizi yanakula pesa bure, luzuku ya kuwalipa wagombea hewa wa kutengenezwa na ibilisi wa ccm kwa njia haramu za kishetani ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi
 
Back
Top Bottom