Aman Mulagizi
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 155
- 22
Hesabu rahisi anza nawale wote waliotangazwa kwenye magazeti jumlisha halafu toa million 8 toa na laki 3 waliokufa halafu njoo tukupe na listi mpya ya mwanachama
Mnalishwa info feki, na mnazimeza nzima nzima.Pamoja na ufunyu wa ujuaji huu tulionao lakini tuna access na info nyeti kuliko wewe mpiga debe
Siasa hizi sie tunazipigia debe mjini tu.
Na Mikoa yenye mihemko ya kisiasa Arusha,na Dar kwa wavivu wengi.
Ila huko Vijijini watu bado wana misimamo yao na wanaendelea na maisha yao.
Na ukichunguza UKAWA wengi ni vijana waliokata tamaa ya maisha wao wenyewe kwa uvivu wao.Na hii mbinu waliitumia saana CUF huku Zanzibar kuhamasisha wananchi juu ya Maisha bora mbadala wakichukua Dola.Sasa waulize leo hii hali ipoje na wamo ndani ya Baraza la maamuzi.Hahaha utacheka mpaka basi,sasa hivi ADC Hamad Rashid ndio anakuja kupiga msumari ule ule wa ahadi za CUF kuhusu vijana.
Siasa ni kama ugonjwa ambao watu tunaambukizana,yaani ukikaa na mtu fulani basi ukikutana na mwenzio basi maelezo yao yanafanana ila kwenye kuchambua hoja ndio shida sasa.Mtu anakuambia tu mie UKAWA au CCM.Ukimuuliza anakuambia maisha haya yameishanitosha,ukienda kwa undani anakula na kulala kwao na shule alikimbia.
Au mwingine anakila kitu ila mvivu kama yeye hakuna,anatamani kesho yaje mameli ya Kigiriki awe baharia.Political Science ni zaidi ya tunavyoijua kwa wana Siasa wa Tanzania.Na wanaisasa wana Target sana waliojikatia tamaa wao wenyewe.
Sasa watu mkiona pale watu wamejazana kwenye mikutano basi mnaona ndio idadi ya wanachama wenye nguvu,bila kujua upana na uimara wa chama chenyewe.
Mnalishwa info feki, na mnazimeza nzima nzima.
Mnaumwa matumbo kwa kula info feki, ila lazima mpigwe come Oktoba.
Tupo tumeongezeka Team Slaa wengine wametoka wengine tumeingia ambao hatujulikani. ndio siasa zilivyo bwana tufanyeje sasa?
Najua ''kupiga'' mnakotegemea kwa kutumia kura za bandia lakini mambo hayatakuwa rahisi kama unavyofikiria. Mwenzako Kikwete sasa anafanya mazungumzo ya mlango wa nyuma wewe baki na ushingilo kiazi nibane chako!
Nyie mafinyu wa ujuaji, hao wanajeshi mliongea nao wapi?
Juzi mmeonywa kutoingiza taasisi hii muhimu katika kushindwa kwenu siasa, hizo ni dalili tosha za kushindwa siasa kwa UKAWA.
Iwe isiwe mtapigwa tu magoli ya uhakika!
Ndio yale ya mkono ya kukusanya shahada za kupigia kura kwa wanajeshi. Kweli CCM kweli mnatapatapa. Mwenyekiti wenu amekonda sio yule wa Dom pia Nepi nae hana confidence kabisa
Siasa hizi sie tunazipigia debe mjini tu.
Na Mikoa yenye mihemko ya kisiasa Arusha,na Dar kwa wavivu wengi.
Ila huko Vijijini watu bado wana misimamo yao na wanaendelea na maisha yao.
Na ukichunguza UKAWA wengi ni vijana waliokata tamaa ya maisha wao wenyewe kwa uvivu wao.Na hii mbinu waliitumia saana CUF huku Zanzibar kuhamasisha wananchi juu ya Maisha bora mbadala wakichukua Dola.Sasa waulize leo hii hali ipoje na wamo ndani ya Baraza la maamuzi.Hahaha utacheka mpaka basi,sasa hivi ADC Hamad Rashid ndio anakuja kupiga msumari ule ule wa ahadi za CUF kuhusu vijana.
Siasa ni kama ugonjwa ambao watu tunaambukizana,yaani ukikaa na mtu fulani basi ukikutana na mwenzio basi maelezo yao yanafanana ila kwenye kuchambua hoja ndio shida sasa.Mtu anakuambia tu mie UKAWA au CCM.Ukimuuliza anakuambia maisha haya yameishanitosha,ukienda kwa undani anakula na kulala kwao na shule alikimbia.
Au mwingine anakila kitu ila mvivu kama yeye hakuna,anatamani kesho yaje mameli ya Kigiriki awe baharia.Political Science ni zaidi ya tunavyoijua kwa wana Siasa wa Tanzania.Na wanaisasa wana Target sana waliojikatia tamaa wao wenyewe.
Sasa watu mkiona pale watu wamejazana kwenye mikutano basi mnaona ndio idadi ya wanachama wenye nguvu,bila kujua upana na uimara wa chama chenyewe.
Ndo nasema nyie ni mambumbumbu wa kujua ukweli.
Wanajeshi wako wangapi nchi hii kupiga kura za kubadil matokeo, kwani wako milion mbili?
Mkiambiwa nyie majuha mnabisha!!
Mtapigwa pale msipotarajia!!
Kuchoka umechoka peke yako, na uende kwenye maadamano ya pokea Lowassa na under 20s wenzioUchache wao ndio unafanya mfanye ulaghai. Tatizo mmepigwa upofu hamuoni kwamba chama tawala kimechokwa na wananchi hata kwa hila gani mwisho wenu ni 25 Oktoba