Hivi CCM imebashakiwa na wanachama wangapi!?

lukindo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2010
Posts
8,470
Reaction score
9,053
Wasalaam wanajamvi.

Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa wananchama wanaojitoa kwenye chama chetu kikongwe cha CCM kwa siku za karibuni na kuona nililete hili hapa jamvini ili mwenye data atusaidie.

Naangalia picha kila siku wanachama wakirudisha kadi na hata zingine wakizichama na kuzichoma moto. Kwa idadi niliyoshuhudia mwenyewe ni wanachama wengi na bado wanaendelea kutokihama chama.

Swali langu ni juu ya tulivyoaminishwa kuwa CCm ina wananchama 6,000,000 (milioni sita), kwa mwendo huu watakuwa wamebakia wanachama wangapi!?

Mwenye taarifa na data za karibuni anisaidie.

Nawasilisha.
 
Usiwe na wasiwasi wenyewe tupo, chukueni wale wachumia tumbo kuna Mgeja na Guninita pamoja na wamasai wachache wa Arusha wanaomfuata ndugu yso.
Halafu subiri moto wa CCM Oktoba, mtashangaa mlipitwa wapi.
 
Nimeskikia wananchi wa Upanga Magharibi ambao wanatokea kwenye kitongoji kinachoaminika kuwa na watu wenye uelewa wakidai kuwa miongoni mwa liopiga kura za nmaoni walikuwa wanachama fake na waliyasema hayo baada ya kuandamana.
Hiyo pia imesikiaka karibia maeneo yote ya nchi kama wote tunavyoona kila siku.
Sasa najiuliza hao wanachama mamluki nao wanahesabika!?
 
Imebakiwa na familia ya Kikwete familia ya Kinana na familia ya Pinda na Bilal nasikia wapo nusu mguu ndani nusu mguu nje
 
Usiwe na wasiwasi wenyewe tupo, chukueni wale wachumia tumbo kuna Mgeja na Guninita pamoja na wamasai wachache wa Arusha wanaomfuata ndugu yso.
Halafu subiri moto wa CCM Oktoba, mtashangaa mlipitwa wapi.

Huo wizi mnaotaka kulazimisha kuna wanajeshi wengi sana na polisi wameshaapa watahakikisha uchaguzi wa mwaka huu CCM haitaiba kura, na wakilazimisha kuiba kama wanavyopanga wawataongoza wananchi kukataa!
 
Na iwe hivyo Mungu awatie nguvu
 
ha ha ha ha ha nimecheka mpaka basi, labda wanachama wa ccm wanazaliana sana au wamepandikizwa mbegu za kisasa ndomaana ya idadi kuongezeka kutoka laki 6 hadi 8
 
Huo wizi mnaotaka kulazimisha kuna wanajeshi wengi sana na polisi wameshaapa watahakikisha uchaguzi wa mwaka huu CCM haitaiba kura, na wakilazimisha kuiba kama wanavyopanga wawataongoza wananchi kukataa!
Nyie mafinyu wa ujuaji, hao wanajeshi mliongea nao wapi?
Juzi mmeonywa kutoingiza taasisi hii muhimu katika kushindwa kwenu siasa, hizo ni dalili tosha za kushindwa siasa kwa UKAWA.
Iwe isiwe mtapigwa tu magoli ya uhakika!
 
Usiwe na wasiwasi wenyewe tupo, chukueni wale wachumia tumbo kuna Mgeja na Guninita pamoja na wamasai wachache wa Arusha wanaomfuata ndugu yso.
Halafu subiri moto wa CCM Oktoba, mtashangaa mlipitwa wapi.

Nasikia UKAWA wamejipanga kudhibiti wizi wa Kura sasa sijui itakuwaje!!!!!!.
 
Nyie mafinyu wa ujuaji, hao wanajeshi mliongea nao wapi?
Juzi mmeonywa kutoingiza taasisi hii muhimu katika kushindwa kwenu siasa, hizo ni dalili tosha za kushindwa siasa kwa UKAWA.
Iwe isiwe mtapigwa tu magoli ya uhakika!

Pamoja na ufunyu wa ujuaji huu tulionao lakini tuna access na info nyeti kuliko wewe mpiga debe
 
Nimeskikia wananchi wa Upanga Magharibi ambao wanatokea kwenye kitongoji kinachoaminika kuwa na watu wenye uelewa wakidai kuwa miongoni mwa liopiga kura za nmaoni walikuwa wanachama fake na waliyasema hayo baada ya kuandamana.
Hiyo pia imesikiaka karibia maeneo yote ya nchi kama wote tunavyoona kila siku.
Sasa najiuliza hao wanachama mamluki nao wanahesabika!?

Mimi ni mwanaupanga magharibi..yaani zoezi la kura za maoni huku lilijaa rushwa tupu..usiku kadi ya chama ilikuwa ikinunuliwa 15000 tu
 
Back
Top Bottom