Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,404 Reaction score 100,603 Jul 6, 2010 #1 Habari za muda tena, Nauliza swali, hivi bunge linaendela au wameshamaliza? Linanitia kichefuchefu tu, mara ukute robo tatu ya wabunge hawapo, waliopo wanasinzia tu... na kutumiana meseji za umb..eaaaa. Sijui wako dunia gani
Habari za muda tena, Nauliza swali, hivi bunge linaendela au wameshamaliza? Linanitia kichefuchefu tu, mara ukute robo tatu ya wabunge hawapo, waliopo wanasinzia tu... na kutumiana meseji za umb..eaaaa. Sijui wako dunia gani
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,265 Reaction score 8,100 Jul 6, 2010 #2 who cares?
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,404 Reaction score 100,603 Jul 6, 2010 Thread starter #3 None