Hivi Bongo kumbe Hali Mbaya namna hii!!!!

Hivi Bongo kumbe Hali Mbaya namna hii!!!!

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,092
297628_456468501041874_1754351058_n.jpg
 
Hapo tumbo lake hata halitaunguruma,gusa wewe sasa uone moto wake!
 
''Maisha bora kwa kila mtanzania inawezekana'' JAKAYA KIKWETE, 2005
 
Vijijini mbona sawa kabisa kunywa maji ya namna hiyo,na hapo ukimpa yaliyochemshwa utasikia anasema hayana ladha
 
immunity kutemeana na mazingira, underline the word immunity
There's no such thing. Ingekuwa unaweza kuwazoea microbes na kujenga immunity basi hakuna Mtanzania angekufa na Malaria.

Na unajuaje kama huyu mtoto hajafa baada ya kunywa hiyo sewage? Hundreds of thousands of kids die every day across Africa for unclean water related maladies, we can't sit here wowed by the unfadhomable image talking bout oooh we got immumity, doesn't make any sense...
 
Back
Top Bottom