Labda lengo ni kuonekana bunda kubwa la pesa ili tushawishike! Wakiweka buku mbilimbili mzigo utakuwa mkubwa! Buku tano tano inatosha.Naona kila mshindi hupewa mabunda ya noti za elfu tanotano.
Sijawahi ona mabunda ya elfu kumi, elfu mbili wala elfu moja!
View attachment 760762