Hebu niambie,wametumia njia gani kufikisha malalamiko yao maana simu hawapokei,niambie Kama ni email wanadeal nazo niwaandikieDuuh bado hawajawarekebishia tu, maana kuna rafiki zang wngine wamerekebishiwa tyr kama watu aquaculture now wanaomba fishing officer,watu wa public relations wanaomba information officer wakat at first system iliwakataa..sasa iyo ya kwnu sjui imekaaje jaribu kuwatumia email
Hivi aisee kwa nini wasifanye Mambo yawe simple!!Kuna watu waliosoma bodi ya uhasibu na ugavi
Mfano: Atec, intermediate stage nao hawatambuliki ni mara chache sana tangazo kuwahusu wakati NBAA i.e bodi ya uhasibu na ukaguzi inayotoa hizo kozi inaitambulisha Atec na intermediate as diploma na degree respectively
Bado aisee Yani itaniuma mno Kama nitapitwa na hii batchIngia tena omba, wengi walipatwa na shida hiyo ila Utumishi wamerekebisha
Kozi hiyo hiyo unakuta inatolewa na taasisi ya serikali ila taasisi nyingine ya serikali inaikataaHivi aisee kwa nini wasifanye Mambo yawe simple!!
Hata Mimi nimeaoma Account nikiangalia Vigezo ninavyo lkn Sytem ya Ajira portal inakataa kuomba, tusaidie hayo mawasiliano au Email yao itu tuwatafute watusaidieDuuh bado hawajawarekebishia tu, maana kuna rafiki zang wngine wamerekebishiwa tyr kama watu aquaculture now wanaomba fishing officer,watu wa public relations wanaomba information officer wakat at first system iliwakataa..sasa iyo ya kwnu sjui imekaaje jaribu kuwatumia email
Ndio, si kuna sehem ya feedback paleHebu niambie,wametumia njia gani kufikisha malalamiko yao maana simu hawapokei,niambie Kama ni email wanadeal nazo niwaandikie
Wawafungulie maana huu mwaka ukipita ajira zitakua za kuvizia kamaBado aisee Yani itaniuma mno Kama nitapitwa na hii batch
Thank you let me try thisNdio, si kuna sehem ya feedback pale
Yani aisee watu tumesubiri hii chance over years alafu hukuti coz yakoWawafungulie maana huu mwaka ukipita ajira zitakua za kuvizia kama
Kwakwel maana hizi ajira zilivyoachiliwa kwa wngi apa tena kwa wingi ivi sjui n mwaka gnYani aisee watu tumesubiri hii chance over years alafu hukuti coz yako
Nimeshawatumia ngoja tuone nitaleta mrejesho hapaKwakwel maana hizi ajira zilivyoachiliwa kwa wngi apa tena kwa wingi ivi sjui n mwaka gn
OkyNimeshawatumia ngoja tuone nitaleta mrejesho hapa
Hata mimi nimewatumia Ngoja Tuone Feedback yao watasemajeNimeshawatumia ngoja tuone nitaleta mrejesho hapa
Tusubiri mkuuHata mimi nimewatumia Ngoja Tuone Feedback yao watasemaje