Hivi Baltika imeenda wapi jamani?

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,671
Reaction score
37,838
Hi!

Kinywaji niliwahi ipenda sana, hasa nikiwa na drive safari ndefu. Majuzi nikajaribu kuulizia mkata hola yale ma hotel barabaran hola. Nikaenda Liverpool, hii, wakasema atuuxi pombe, nikasema n energy, sema kama hamna, ala. Nimerudi Dar naangalia Simba vs Yanga kha hamna. Mlioificha anaawaona.
 
Itakuwa wateja walishindwa bei soko likafa
Azam na Mo energy zimeua soko la hizo energy za bei kubwa (3000 kwenda juu)
 
Mbona ipo! Halafu ile sio energy mkuu,ni kwa ajili ya watu wanaotaka kuacha mtungi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…