uungwana classic
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 2,301
- 2,092
Hili tatizo anatokanalo magufuli koz waalimu bado wanahitajika sana wawe na subira tu na wajiandae kiakili kusota mpaka jamaa amalize muda wake baada ya hapo watatafutwa ka pesa. infact kusoma ualimu wa arts kwa sasa hailipi labda baadae huko itatokea Trap yaan walimu wa arts watakosekana kabisa
Anasomea ualimu Wa. Nin?Huu uzi angeuona mshikaj wangu ambaye ndo anamaliza chuo angelia
I mean arts au??Huu uzi angeuona mshikaj wangu ambaye ndo anamaliza chuo angelia
Secondary sema science ila alienda ualimu akiwa shingo upandeAnasomea ualimu Wa. Nin?
Asihofu ataajiriwaa anasomea degree??Secondary sema science ila alienda ualimu akiwa shingo upande
Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
Ajira zipo mkuu kuna rafiki yangu nilisoma nae chuo kimoja alinitangulia mwaka kaajiriwa mwaka Jana hesabu na computer coz ambayo nimehitimu mimi......Hali ni tete
No dip..mkuuAsihofu ataajiriwaa anasomea degree??
Endelea kusikia ivo ivo mkuu hahhahaaaaaaNasikia Ualimu wa vijijini unalipa sana